Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Nimesema Putin hawezi kumuachia Salama huyu Prigozhin.👇
 
Attachments

  • Screenshot_2023-06-25-17-33-57-998_com.opera.app.news.jpg
    Screenshot_2023-06-25-17-33-57-998_com.opera.app.news.jpg
    226.5 KB · Views: 4
Hahahaha umesema Muhammed katunga sawa kwa Iman yako je kati ya Muhammad na Wasomi wa sasa yupi mwenye elimu zaidi au elimu aliokua nayo Muhammed kipindi hiko ya kutunga je inazidi wasomi wa sasa ?
Tufanye tu Mungu aliprint Quran mbingu ya Saba akamshushia Mudi mpaka akachapwa makofi....kuelewa
 
Usikute kila hatua wanayopiga NATO ndio wapo nyuma yao, hapana sio nyuma yao. Wapo mbele yao.
Hiyo shughuli yao,hasa Marekani ilikua swala la muda tu.
Wamengoja jamaa afanye ujinga mwingi wamrudie ili wapate sababu kumtwanga vizuri
 
Hao wanahusiana nini na hawa kadyrovities kwanza hawapatani, na hawa ndio waliofagia magaidi wote.
Ni sawa na Kusema kila mcolombia ni Kingpin.
Sio kweli ni wachechnia walewale. Hao wana asili ya ugaidi na hilo liko wazi kabisa.
 
Jasusi mbobezi wa Kimataifa. Mtaalamu wa Vita na Diplomasia. Mwanasiasa Mkongwe na Mwanamikakati anaweza kutuelezea zaidi hii Mbinu wanayotumia Russia kitaalamu inaitwaje.

Hii Warussi wame bwinu mbwinu mpya ya kivita kuwachanganya Ukraine na Mabeberu. Wataenda kupokea kipigo kikali. Ina jina lake kitaalamu na Yericko Nyerere anaweza elezea hii kwa kina mkamwelewa.
Mchambuzi mwenye mahaba na Putin
 
Ebu fafanua jirani @ DeepPond
Vikosi vya Wagner na silaha zao vimehamishwa kijanja kuelkea Belarus ili vipate urahisi wa kuingia kushambulia Kiev

Afu chechens wanaelekea bakhmut kuchukua nafas ya Wagner [emoji4]

Isingekua hii propaganda,
Wagner wangeshambuliwa San na Ukraine wkt wa kuondoka apo bakhmut [emoji28]
 
Jana tumeshuhudia members wote 30 wa nato ndani ya Jf na washirika wao wengine zaidi ya 25 wakiwa active kwenye uzi wakimsupport Prigo mzee wa gomba. Hadi mu estonia flani aliedai yuko busy shambani jana alikuwa anashusha mchango kila baada ya dk kadhaa[emoji3][emoji3]. Kweli nato Jf ina washirika wengi sana sikutegemea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sahv wamekimbia nduki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sahv wamekimbia nduki
Sio kwamba mmeachiwa nyie Uzi. Kiuhalisia ile hali aliyoianzisha Prigozhin yoyote yule mpenda amani angeifurahia.

Zaidi pia nyie Warusi wa kitunda msijifariji kwamba kulikuwa na mipango yoyote kati ya Putin na Prigo. Imejulikana tu dhahiri jeshi la Urusi ni dhaifu. Pia limepoteza kabisa morali ya vita. Wanatamani hata kesho vita uishe.

Putin mwenyewe anaishi kama bundi kwa sasa. Amefanywa kama mkimbizi tu ndani ya nchi yake mwenyewe. Muwe tu wakweli nyie Warusi wa namtumbo,fikiria kutoka kuonekana kama mbabe mpaka kuwa kama ndege kujificha ficha. Hamuamini mtu. Sadam pia alikuwa na mwisho wa namna hiyo.
 
Ndivyo ukkraine walivyoingia mkenge!! Wakaamini morali ya askari wa urusi iko chini kipindi hiki. Japokuwa walikuwa wameanza kusitisha mashambulizi walidhani kuwa huu ndio muda mwafaka kuanza tena mashabulizi kwa nguvu wakati kuna "uasi"!! Wakapeleka askari kibao kufanya mashambulizi!! Kilichowakuta jisomee mwenyewe hapa!

Kiev’s forces have repeatedly attacked Russian positions across the frontline in the past 24 hours, sustaining heavy casualties in process, the Russian Defense Ministry said on Sunday. The Ukrainian forces lost more than 800 soldiers during that period, as well as multiple pieces of military hardware, it added.

The Donbass city of Artyomovsk (known in Ukraine as Bakhmut) and its immediate vicinity have seen the most intense fighting, with ten attacks repelled in the area. The Ukrainian forces lost up to 430 troops there, as well as 11 infantry fighting vehicles, multiple cars, and an artillery piece, the Defense Ministry said in its daily briefing.

The Russian military also said it had destroyed a major ammunition stockpile near the contested town of Avdeyevka in the Donetsk People’s Republic (DPR), which saw a further four attacks repelled.

Huu mtego ulikuwa wazi sana lakini jamaa wameingia wazi wazi na kuam,bulia maangamizi ya watu na vifaa vya kijeshi!!

HIvi inaingiaje akilini askari wa Wagner kuteka kambi ya kijeshi iliyo makao makuu kanda ya kusini mwa urusi bila kizuizi chochote na bila risasi hata moja kupigwa!! Nenda kajaribu kufanya kweli uone kitakachokutokea!!
 
Sio kweli ni wachechnia walewale. Hao wana asili ya ugaidi na hilo liko wazi kabisa.
Ssbabu wanafuga ndevu alafu ni waislam si ndio?? Na hii ndio dhana ya mmarekani aliyoipandikiza kwa mambulula kama nyinyi,,, mtu akiwa na ndevu nyingi pia ni muislam akipigania haki yake basi gaidi,,, rejea wapalestina, Chechnya, r.I.p shujaa wangu hamza..
 
Kwa taarifa zilizopo wamesitisha uasi, hawaelekei popote.

Binafsi sioni kama ni jambo la kujivunia kwa mrusi yoyote humu sababu mpaka sasa ukweli ni kwamba hakuna anayejua what happened na lile jambo lilikuwa na tafsiri gani. Ukraine nao walipaswa kushangaa kuwa ni nini kinaendelea na si kushangilia. Ila kwa sababu ni uzalendo uchwara ni sawa tu.
Wapi uliwaona Ukraine wakishangalia??
Kuna tatizo gani ukishangilia adui yako wanapovurugana??
 
Wagner wamesema lengo lako ilikuwa ni kuwajua mashabiki maandazi pamoja na maadui wa kweli na wale marafiki wanaa wa Motherland/Fatherland Moscovischt/Russia [emoji23][emoji23][emoji23]
UONGO.
 
Sio kwamba mmeachiwa nyie Uzi. Kiuhalisia ile hali aliyoianzisha Prigozhin yoyote yule mpenda amani angeifurahia.

Zaidi pia nyie Warusi wa kitunda msijifariji kwamba kulikuwa na mipango yoyote kati ya Putin na Prigo. Imejulikana tu dhahiri jeshi la Urusi ni dhaifu. Pia limepoteza kabisa morali ya vita. Wanatamani hata kesho vita uishe.

Putin mwenyewe anaishi kama bundi kwa sasa. Amefanywa kama mkimbizi tu ndani ya nchi yake mwenyewe. Muwe tu wakweli nyie Warusi wa namtumbo,fikiria kutoka kuonekana kama mbabe mpaka kuwa kama ndege kujificha ficha. Hamuamini mtu. Sadam pia alikuwa na mwisho wa namna hiyo.
Vichekesho hivi, sasa NATO na Ukraine wanashindwa nini kuwamaliza hao waliishiwa morali?
 
Back
Top Bottom