Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Sisi waislamu tunawaona mayahudi ni wabaya kuliko wakristo.La kushangaza wakristo wengi wanawaona ni ndugu zao kuliko waislamu.
 
Kitu kizito kutoka west kinaweza kikatua Moscow hapo kwa jina la Wagner amini usiamini
Ilikuwa ni ujinga na upumbavu mkubwa watu kushabikia kuwa NATO amefyata mkia kwa Russia.
Tuliwaambia NATO anapigana akiwa amekaa mezani na kunywa mvinyo...pro Putin walitutukana sana.

Hadi sasa uchumi wa Russia utayumba zaidi ya miaka 20 ijayo.

Putin hana uhakika kuwa salama hadi muda huu na ujao.

Tusubiri na tuombe uzima...nahisi Nato wako bega kwa bega na Wegner
 

Vita na Magharibi ni vigumu sana, keshaahidiwa mahali pema
 
'chickens have come home to roost', is normally used to mean that the bad things that someone has done in the past have come back to bite or haunt the individual. Kuua watu wasio na hatia na kuharibu nchi yao Mungu hawezi kukuacha salama karma itawarudia mandondocha ya dikteta Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…