Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Sawa na Hezbollah waanze kuishambulia Iran au Tariban wa Afghanistan waishambulie Pakistani, Ngoja tuone.
Mzee kwenye harakati za madaraka, YASIYOFIKIRIKA KABISA HUTOKEA.

Nakupa mfano, wakati RPF Wanaingia kijeshi Rwanda siku ya kwanza tu, na kupata mafanikio makubwa, Rwigyema (swahiba, mwanamipango mwenza wa Kagame) jasusi na kiongozi wa vikosi, anauawa akiwa ndani ya kambi yake mwenyewe. Hili hadi majeshi ya Rwanda yenyewe yalipigwa na Butwaa.

Baada ya tukio hili, haijalishi matokeo, kutakuwa na mageuzi makubwa ya kijeshi na kisiasa Urusi na kwenye SMO yao.
 
Ukraine ilipaswa iwasaidie hawa waasi kuongeza nguvu kuelekea kuiteka Moscow.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ni Suala la dakika tu Wagner, Ukraine, West soon itajulikana wapo pamoja. Kwa kifupi Putin sasa anapigana ndani ya nchi yake na maadui kibaoooooooo na hii in moment ilikuwa ikisubiriwa sanaaaaaa na west na ilishatabiriwa. Kumbuka Libya, Iraq na kwengine ilivyokuwa. Labda kama aamue liwalo na liwe atumie nyuklia na hata akifanya hivyo hana muda mrefu wa kuendelea kuitawala russia. Kwa kifupi Putin siku zake zinahesabika ameamua mwenewe kumaliza vibaya
 
Sahii reformation lazima na shukrani pia Kwa huo mfano wa ndugu zetu wanyarwanda
 
Magari ya Deraya/Armoured vehicles yaonekana mitaa ya Rostov Oblast, Russia baada ya tamko la kutangazwa kwa vita Dhidi ya Urusi la kiongozi wa Wagner mercenaries:
Mytake: Putin haaminiki hata na washirika pamoja na wananchi wake.
 
Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Mkuu lile ambalo unadhani kuwa haliwezekani, huwa linawezekana hapa duniani. Rafiki yako anaweza kuwa adui yako na adui anaweza kuwa rafiki kwa lengo flani.
 
Ha ha ha ha ha ha vita imeenda kuwa tamu saana mkuu. Na wale askari wa wagner waliopo Ukraine wanarudi russia kupambana. Sasa sijui SMO itaendeshwa na nani, kweli counter Offensive imekuwa ya akili zaidi badala ya nguvu.
 
Urusi ilitumia propaganda kuficha udhaifu wake na upuuzi wa serikali yake. Na sasa kuna machafuko mengi ambayo hakuna uwongo unaoweza kuificha. Na hii yote imetokana na mtu mmoja ... ingawa hana uwezo wa kuongoza kwa kitu kingine chochote. Udhaifu wa Urusi ni dhahiri.

Volodymyr ZelenskyRais wa Ukraine
 
Mwenye kupenda kusaidia atutafsirie hiki kipande nimeona kina ladha fulani
 
Incoming reports that Prigozhin was lying for 2 months about the Wagner Group’s ammunition shortages.

Instead, he was stockpiling for this moment and also gathered large quantities of MANPADS and Javelins captured from the Ukrainian Army.
 
Urusi Imetudhalili sana Kama Ndio hivi mamluki anasonga kama mlenda kwa ugali duh....Hivi hii nchi kumbe haikua na chochote ni mkwara mbuzi tu....Sasa Putin na jeuri yake si atakua anazimia huko...Najisikia aibu sana mashoga yanaiangusha Urusi dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…