Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Prigozhin audio message shocked

"No one will surrender to the demands of the President":

"Regarding the betrayal of the Motherland, the President is deeply mistaken. We’re patriots of our Motherland. We fought and we are fighting, all fighters of PMC Wagner. And no one is going to surrender to the demands of the President, FSB, or anyone else. Because we don’t want the country to live further in corruption lies, and bureaucracy.

When we fought in Africa, we were told that we needed Africa, and then they dumped it, because they stole all the money that was meant to come for help.

When we were told we are fighting with Ukraine, we went and fought. But it turned out that the ammo, weapons, all money put towards this were also being stolen, while officials are sitting and saving them for themselves for an incident that happened today, when someone is going towards Moscow."

Now they are not saving anything, they are striking us with planes and helicopters at the columns with civilians. And they hit civilians because they’re missing. And they hit anywhere they can.

Thus, we are the patriots, but those resisting us today are those who gathered around scumbags.

Audio: t dot me/Prigozhin_hat
 
Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.

Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.

=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa

Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.

Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.

Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.

Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".

=====

Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani

Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.

Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.

=====

Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.

Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.

Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
Tuliposema kuwa hii ngoma mwisho wake lazima ichezwe ndani ya Russia watu walikua wanatuona kuwa tumechanganyikiwa
 
Nini kitaitokea Ukraine kama wagner wakaibuka washindi( haiwezi tokea )?
Swali ambalo mnashindwa au mmejiuliza mmeamua kukausha.
Wegner kama Wegner hawwezi kuwa washindi Russia, isipokuwa wakipata sapoti kwa waasi wapya jeshi la Russia.

Kuhusu nini kitatokea Ukraine, sidhani kama kutakua na sababu kuendeleza mgogoro, isitoshe walipigana kama kazi na sio vinginevyo
 
Bro. Trump anaungwa mkono kuliko wagombea wote US fuatilia midia zao.

Kuhusu tuhuma anazotuhumiwa zote atapangua
Hakuna kitu kama hicho Mkuu.

Trump anaungwa mkono kwa kiasi na chama chake sio raia

Hapo juzi tu baada ya kukutwa na nyaraka za siri kulifanyika survey kupita yougov poll kwa watu wazima raia wa US kuona kama Trump anastahili kuwa raisi tena.

Asilimia 23 walisema anastahili, wakati asilimia 62 walisema hapaswi kuchukua madaraka tena.
 
Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Kitu ambacho sijaelewa mpaka leo ni kwa nini Mrusi anatumia mamluki kwenda vitani wakati yeye ana jeshi kubwa na vifaa kibao??
 
Hakuna kitu kama hicho Mkuu.

Trump anaungwa mkono kwa kiasi na chama chake sio raia

Hapo juzi tu baada ya kukutwa na nyaraka za siri kulifanyika survey kupita yougov poll kwa watu wazima raia wa US kuona kama Trump anastahili kuwa raisi tena.

Asilimia 23 walisema anastahili, wakati asilimia 62 walisema hapaswi kuchukua madaraka tena.
Tusubirie, lakini kama Biden atajidanganya agombee tena ninakuhakikishia mapema saa 3 Trump atashinda
 
Bro. Trump anaungwa mkono kuliko wagombea wote US fuatilia midia zao.

Kuhusu tuhuma anazotuhumiwa zote atapangua
Mzee, mashitaka ya Trump ya sasa hachomoki, yana ushahidi mzito sana. Lakini pia biden naona afya ya kizee aliyonayo, hadi 2024 shidhani kama itamruhusu kusimama.
 
Hali ni tete
Kama ndio hivi basi wamagharibi ni watu hatari sana khaaa.

China nae atulie tu asianzishe mgogoro nao
 
Back
Top Bottom