US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Una chembechembe za udikteta

Watu kama nyie ndio hamkubaliani na mawazo mbadala, kila kitu nyie mnajua,(Halafu mnataka muwekewe rf badala ya kutafuta) ila haishangazi ndivyo mlivyofundishwa,

ngera kali linux kwa kuelewa na kuridhika japo pengine hujakubaliana na mimi
 
Walimu wanakazi sasa,sasa udikteta wangu upo wapi?Nimekulamisha kitu gani labda? Yaani kukuambia kuongea kwa reference ndio udikteta?Ila mpaka hapa nishajua na ongea na mtu wa aina gani, kama ulikuwa huwezi kuchambua kitu husingereply comment zangu kwani umenipotezea mda kukujibu. Kwa mtu aliye soma tu hata Diploma anajua nini umuhimu wa kujenga hoja kwa kurefer kwenye vyanzo vya uhakika, nna wasiwasi na uwezo wako wa ufahamu.
 
Anaona humu jf watu hatujaenda shule sijui.
 
Acha chukuwachakomapema watawale milele kwa uzuzu huu!
 
Huu ndio udikteta wenyewe, ukishindwa hoja unahamisha magoli kwa kuanzisha yasiyokuwepo

Hata mimi nina wasiwasi na uwezo na elimu yako,
Kukuelewesha wewe ni kupoteza mda tu
Yale yale ww umetoa hoja ipi na kurefer kitu gani zaidi ya kuniattack? Huna cha kunielewesha sababu hauna reference na kwa kukosa reference automatically unakuwa huna tofauti na waongoza story za kahawa aka wazee wa kuzogoa. Msomi hoja zake zinaongozwa na reference.
 
Msomi gani hajui kufatilia habari mpaka awekewe ref? Hakuna mtu atashindwa ikiwa atawekewa kila kitu

Juzi tumeona wasomi walivyokesha πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Usomi mchezo
 
Hakuna kitu upumbavu mtupu tu ww unasifia kuporomoka Akili zimo kweli,Hv hapo ndipo alikuta Shilingi yetu ipo hadi usifie,Mijitu mieusi basi mtu anapiga hatua hapo hapo wala haendi mbele unamsifu kwa na ww umepofuka wala huoni kama watu wanaenda mbele au wanarudi nyuma.
 
Mama akae mpk achoke

Naunga mkono hoja πŸ˜„
 
Ahsante kwa ufafanuzi na majibu, ifahamike kuwa werevu wachache hujenga taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…