mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #201
Una chembechembe za udiktetaUvivu upi? Mimi kwenye kile ninacho kijua humu JF huwaga na kielezea na kama kuna reference huwaga naweka na ndio msingi wa malumbano ya hoja ambayo hujenga.
Sasa naona na ww unateleta taarabu mara mvivu sijui nini,kama ww unajua chambua weka na reference kama hujui kaa kimya,wanaojua wananielezea.
Watu kama nyie ndio hamkubaliani na mawazo mbadala, kila kitu nyie mnajua,(Halafu mnataka muwekewe rf badala ya kutafuta) ila haishangazi ndivyo mlivyofundishwa,
ngera kali linux kwa kuelewa na kuridhika japo pengine hujakubaliana na mimi