US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Samia ni mtanzania, Tanganyika haipo, ikiwepo tutaangalia la kufanya
Ila kwa sasa habari ya mjini ni samia na dola kushuka, Mama kaupiga mwingi sana,
We endelea kulaani tu
Kama ni mtanzania kwani wewe siyo mtanzania? nenda Zanzibar ukaombe kitambulisho cha mkazi, ununue ardhi na ugombee cheo chochote kama utaruhusiwa, huo ujinga baki nao wewe mi sina hiyo laana, bara imekuwa kama koloni la Zanzibar. Shame on you
 
Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?

Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?

Mama na akae mpaka achoke

NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Hii kitu ikibounce back ndani ya wiki inaweza ikafika 3000,sijui US anataka kufanya kitu gani.
 
Yaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .

Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.
Nilitaka nichangie ila basi mkuu umeshamaliza..Wajuvi tuendelee kuenjoy show hao mburukenge waache wawe kama kasuku🤣
 
Tzs imepanda kwa karibia currency zote mpk rand
Kenyabna uganda pia na nchi 70% dunia nzima mataifa makubwa yote yameshusha intrest rate ila usa imezidisha .hii ni kukabiliana na madhara ya mavita yanayoendelea yamedororesha uchumi.
Kaka Tanzania huwa sio hata 1% ya uchumi wa dunia ni katone baharini na hukana chochote cha maana cha kustaajabu kwenye uchumi wa tanzania nje ya kuongezek utalii.ambapo sasa ni mil 2.8 .wakati sisi tuna vivutio kuliko morroco na kanchi kao ni sawa na tabora lakini wana watalii mil 12?? Msichezewe akili na wanasiasa yaan mseme mpeleke kina mwijaku ndo watangaz we utalii ?? Asilimia 90% ya wazungu wote hawajawahi sikia neno tanzania ?
Fikiria zile hela za kuzurura wasanii wetu wa la saba bil kama 5.wawapa offa kuja bure ma super sta wenye followers wengi mitandaoni kama beckam,mamodel wa kimataifa .tuka sponsor kama wenzetu maligi ya maana kama superbowl .ambapo 60% ya wazungu wanaangalia tungepiga utalii kiasi gani??? Tatizo unaweka kina kigwangala toka azaliwe hajawhi ishi hata kenya low exposure wanatumia mandumba na makafara kupata uwaziri.

Pale body ya utalii mmejaza magraduate wa udsm waliokulia njombe wakasoma tourism iringa tumaini mkawaajiri.sikatai ila njooni na sera tangazeni kazi international jobs za experts wa marketing levels za dunia kama 10 hadi 20 walipeni packages za kimataifa wawekeni pale bodi ya utalii wekezeni hata 50mil usd bajeti waifanyie promotion nchi.hawa wenu ongeeni na mabalozi wakawaombee field atachments kwenye body kubwa za utalii kama za usa china spain etc.warudi nchini na connection na uzoefu sio mbaya mkapeleka vijana 100 kila mwaka in 10 yeaars hatushikiki

Mnayoyatamabia yanawezekana ila sio kwa hawa mawaziri kasomea accontanncy unampa uwaziri wa utalii.

Nenda angalia baraza la mawaziri la china .ukikuta wizara ya technology anakaa eng ict na historia amekuwwa director kampuni za technology kibao.
Ukikuta sanaa unakuta yeye tu ashakuwa msanii.big up kwa mwana fa japo na yeye anachekeahaga kuwa bado ana uteam alikiba and diamond
Ila sioni anavchofanya maana proffessionally narecognise kama financial expert sio msanii perse

Mama kwa kwel nampongeza anajitahidi kiasi sio cha kuita kaupiga mwingi ila tuendelee kupush na kushauriana sio kumsifu sifu kila siku matamasha yasiyo na tija kwa taifa kizimkazi huko
 
Kama ni mtanzania kwani wewe siyo mtanzania? nenda Zanzibar ukaombe kitambulisho cha mkazi, ununue ardhi na ugombee cheo chochote kama utaruhusiwa, huo ujinga baki nao wewe mi sina hiyo laana, bara imekuwa kama koloni la Zanzibar. Shame on you
Tanganyika iko wapi? Inabidi tu tuwe watanzania,

Kitambulisho cha mkaazi ni kwa wakazi wa zenji, mimi nipo bara

Sasa ardhi Zanzibar ya kazi gani? Hailimiki, huwezi kujenga gorofa ni kisiwa pale

Cheo si tayari ninacho hapa, vya zanzibar tunawaachia wenyewe, kale ni kainchi kadogo sana, waacheni wapambane wenyewe, hivi vya huku hatujavimaliza
 
Kwahiyo unataka tuvimalize vya bara ndiyo na sisi tuanze kudai vya kwao? kwanini wanibague kama raia wa kutoka nje ya Tanzania? nyie ni wajinga sn ardhi hata Kilimanjaro ni imeisha lakini mtu kutoka Mkoa mwingine hazuiwi kumiliki
 
Miaka elf tatu hawawezi kuvimaliza vyetu, kale ni kainchi kadogo sana
 
Yaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .

Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.
Kuna wahuni humu ndani wapo kumsifia mama Huku wanaiba walilolisahau ni kwamba mama ni mzanzibari kiswahili na waswahili anawajua haswa.
 
Kuna wahuni humu ndani wapo kumsifia mama Huku wanaiba walilolisahau ni kwamba mama ni mzanzibari kiswahili na waswahili anawajua haswa.
Yaan tunaishi ulimwengu wa nyani sana .Inaonesha kama tukimkosoa tunachukia maendeleo hivi .Jaman wengine tunaipenda tanzania tu na mama ni mtanzania ni haki awe rais amalizie na awamu ya mwisho.
Utendaji wake mzuri ila bado sio kiivo ila sio moja ya marais wabaya africa but sio level za kagame au rais wa zambia yeye bado anaishi mifumo ya nyani ya kuamini kuiba kura.kuamini ccm ni mama.kupendana familia za utawala .

Ni stage za kawaida za ujinga hata mataifa makubwa yaliwahi kuwa na huu ujinga wao wametekana sana .
 
Back
Top Bottom