US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Chawa wote wauawe
 
Kunywa maji mengi
 
Dola yenyewe imeshuka wala sio kwamba thaman ya pesa yetu imepanda, sasa kushangilia na kujisifu kwenye hamna ni ujinga mkubwa sana huu mfumo wa uchawa huu ndio umekuja kuliua kabisa taifa hili
Sasa mbona ilipopanda hamkusema ni yenyewe imepanda?

Niliweka tanbihi kwamba
Ukijua kuponda, ujue na kusifu
 
Kuna jamii imeumia sana humu, mpaka wengine wanatukana matusi ya nguoni humu, kisa tu mama ameinua uchumi wa Tanzania

Basi badooo, mtaumia sana

NA
Hakuna raisi aliwahi kuishusha us dola Tanzania tangu tupate uhuru isipokua Samia pekee
 
Kwa kuwa tu hutaki kumsifu Samia? Mbona ilipopanda mlimponda?

Samia ni mpaka achoke mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…