US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Zambia wana shida gani mkuu? Naona hata Kwacha vs Tsh iko hoi mno. Hela yao imeporomoka thamani kwa kiwango cha kutisha.
 
Mkuu uwe unafatilia mambo.. acha mapambio yasiokua na mbele wala nyuma
 
Yaani naona wapinga maendeleo walivyoumia, sema nini? Mama anawajibu kwa vitendo tu

Kweli samia ni kiboko

Na kuanzia january tunanua petrol 1600/= kwa lita

Yaani mpaka mseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…