G
Mbona una makasiriko makubwa hivyo mkuu?Hakuna kitu kinaitwa izlaeli dunia hii
Huyo ni us kwenye hila za kulina asali ya waarabu kwa huruma ya kiimani
Ni mpumbavu pekee, na mawakala kwenye mitandao wanao aminisha watu upumbavu
Mnatumika kama misukule Kujadili upumbavu wa Albino
Tena sana, kizazi cha afumbili wako treated kama warmongerMbona una makasiriko makubwa hivyo mkuu?
1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Muda wote Israel macho yake ni kuviwinda hivyo vinu vya Iran aviharibu.Huo muda wa-Iran wanahamisha Ina maana Israel walilala?Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.
Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio,
badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
Hakika mkuu. Uongo mwingine wa hovyo sana. Yaani mtu anawauwa wanasayansi na wakuu wa majeshi vyumbani mwao ashindwe kujua kwamba machuma yamehamishwa.Wangehamisha vitu nyeti Mossad wangejua na wangevifuata huko huko vilikofichiwa na kuvikung'uta. Mossad wanawadabua majenerali kweli washindwe kujua mamitambo makubwa yalikohamishiwa?
Tena fofofoMuda wote Israel macho yake ni kuviwinda hivyo vinu vya Iran aviharibu.Huo muda wa-Iran wanahamisha Ina maana Israel walilala?
Jambo jema.Vikombe viwili vya kahawa vifikishwe kwa Ayatollah Khamenei bila kuchelewa.Tena fofofo
Na ndio mana hakuna madhara yoyote yatokanayo na mionzi ya ya nyuklia pale Iran
Ana miaka 86 huna dalili ya kuifikia hiyo miaka hatumdai mzee wa watuJambo jema.Vikombe viwili vya kahawa vifikishwe kwa Ayatollah Khamenei bila kuchelewa.
Msamehe mvaa kobazi huyoKwamba vinu na mitambo ya nyuklia inabebwa na kuhamishwa kwa kichwa.
Anazeeka na ujinga wake.Hongera sana kwake.Ana miaka 86 huna dalili ya kuifikia hiyo miaka hatumdai mzee wa watu
Kashazeeka huna dalili ya kumfikia kwa hii miaka yake na bado jamii ina mkubali wewe kijana hapo ulipo unaonekana ni kituko ji tafakariAnazeeka na ujinga wake.Hongera sana kwake.
Ungejua unayemuita "kijana" ungejionea huruma na kujiliza kwa kwikwi huku unaomba msamaha.Waliopendekeza members waitane "mkuu/wakuu" hawakuwa wanapenga kamasi.Kashazeeka huna dalili ya kumfikia kwa hii miaka yake na bado jamii ina mkubali wewe kijana hapo ulipo unaonekana ni kituko ji tafakari
Na wewe kwa upumbavu wako ukawaamini hao waabudu wa shetani, waliofunzwa Taqqya mbele na nyuma!1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
We ni zuzu kweliKnowledge Nani hana! Wengi wanayo ila mitambo ndiyo muziki
SoUngejua unayemuita "kijana" ungejionea huruma na kujiliza kwa kwikwi huku unaomba msamaha.Waliopendekeza members waitane "mkuu/wakuu" hawakuwa wanapenga kamasi.