Una ijua nuclear wewe madhara yake iki shambuliwa ? Unajua kilicho tokea japan 2011 baada ya mionzi ya nuclear kuvuja ?Weee nawe!
Sasa ulitaka waseme nini? Kwamba kila kitu chetu kimeharibiwa ama? π³π³π³
YesOkay, tuendelee kutumia logic, sawa.
Ni Israel hiyo hiyo na Mossad yake ndo ilishindwa kubaini na kulizuia shambulizi la Hamas la Oktoba 7, si ndiyo?
Sasa hii barabara ndipo ilipo fordow unaona kila mtu ni mpuuzi hapa jf. Hiyo sehemu yenye hiyo mitambo ni mlimani. Wewe ni kobazi halisiTazama hakuna lolote kwenye sehemu ilpo Fordow nuclear facility bada ya USA kuishambulia leo
View: https://youtu.be/_QyH6D663oI?si=dF4D-cDlvhU9ImVs
Iran ina watu milioni 90!
Israel itawauwaje nuclear scientists wake wote?
Ukitaka kujua hujui kiasi gani juu ya hili nisemalo na lile alilosema Nyani Ngabu niambie ulikuwa unaijua Nuclear plant ya Bushehr? (Huenda unaijua)Wewe waziamini asilimia ngapi hizo main stream media? Tunasubiri contingency plan ya Iran kwa kweli.
Yaani unafikiri Nyani hajui π Basi tu, anazingua watu humu.
Labda wamefanya hivyo. Siwezi kusema hawajafanya na siwezi kusema wamefanya. Kuna nchi wakati mwingine hufanya mambo ambayo akili ya kawaida inakataa. Wewe ulitegemea karakana kubwa la mabasi ya mwendo kasi lijengwe jangwani kwenye mafuriko?Ukitaka kujua hujui kiasi gani juu ya hili nisemalo na lile alilosema Nyani Ngabu niambie ulikuwa unaijua Nuclear plant ya Bushehr? (Huenda unaijua)
Amejenga Nani? (Huenda unawajua)
Ipo kwenye orodha ya hizo site zilizo lipuliwa na bunker buster ya Marekani?
Kwanini nisichukue enriched uranium pekee na vitu muhimu toka kwenye site zilizotegemewa kulipuliwa na kuzipeleka kusiko tarajiwa kulipuliwa badala ya kuhamisha mitambo yote?
Asilimia ya ninacho amini haitakusaidia, wewe jiulize hayo maswali kadiria asilimia zako mwenyewe.
take time ku train nuclear scientist, kuwa na idadi kubwa ya watu si sababuIran ina watu milioni 90!
Israel itawauwaje nuclear scientists wake wote?
Kwa hiyo Iran haikuwa na contingency plans zozote zile kuhusu passing ya hiyo knowledge?take time ku train nuclear scientist, kuwa na idadi kubwa ya watu si sababu
Naona nchi ina mabalozi wakutosha huku.We uoni Iran kuruhusu kushambuliwa ni udhaifu?
Kama watu wameweza kumshambulia bila kizuizi, basi hata Kama kweli anehamisha hiyo mitambo nayo itashambuliwa tu wakati ukifika.
Tatizo ni kwamba Iran anaingilika hadi chumbani bila vipingamizi.
Ule si msahafu una pass tu kirahis, takes timeKwa hiyo Iran haikuwa na contingency plans zozote zile kuhusu passing ya hiyo knowledge?
Iran wana tabia zote za CCMIran akubali tu amezidiwa.
Yani Mossad inajua hadi muda na mahali wanapolala viongozi wa juu wa jeshi na wanasayansi muhimu wa nyuklia washindwe kujua au kuona hiyo mitambo ikihamishwa!!!!! SI RAHISI!
Mbona hapa hamtaki lissu atii wenye nguvu so wacha mapambano yaendelee hata huko iraniKwamba vinu na mitambo ya nyuklia inabebwa na kuhamishwa kwa kichwa.
Kubalini tu Iran ni simba wa makaratasi na kwa sasa hakuna mwarabu au muajemi wa kumshinda mzungu.
Tiini wenye nguvu zaidi yenu na maisha mengine yaendelee humu duniani.
Yaaani wewe ujue kuwa kahamishaha halafu USA asijue? Hii ni miujiza1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Upo sahihi kabisa.Labda wamefanya hivyo. Siwezi kusema hawajafanya na siwezi kusema wamefanya. Kuna nchi wakati mwingine hufanya mambo ambayo akili ya kawaida inakataa. Wewe ulitegemea karakana kubwa la mabasi ya mwendo kasi lijengwe jangwani kwenye mafuriko?
Watu wa JF huwa wanalazimisha majibu yawe sawa na mapenzi yao.Upo sahihi kabisa.
Kuna uzembe wa ajabu unaweza kufanywa na taifa lolote.
Nimetoka kujibu comment yako kisha naona majibu ya Iran mfano wa nilichokuambia kuhusu enriched uranium materials.
Soma chini:
Iran's Expediency Discernment Council member Mohsen Rezaei earlier said that Iran had moved all of its "enriched nuclear materials" to a safe location.
watu milioni 90 wote ni wanasayansi wa nuclear?Iran ina watu milioni 90!
Israel itawauwaje nuclear scientists wake wote?
Nchi nyingi tu zina hiyo know how ya kutengeneza hizo silaha.Ule si msahafu una pass tu kirahis, takes time
Maybe wanayo but how effective is it?
Most of scientist wao wanasomeshwa nje ya nchi, so easy kuwajua na kuwafuatilia na vile wako wachache