US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

Ila huu msaada ambao Ukraine anapatiwa na US na NATO utamgharimu Sana siku za baadae....Maana hawa washirika they don't give you a free lunch
 
Wataruka kutokea wapi wakati viwanja vya ndege vya kijeshi vimebondwa vyote au ndio watarukia kwenye civil airports halafu vikilipuliwa mje kulalamika kwamba RUSSIA ana target raia?
Wapiganaji ndo wanajua wataruka kutokea wapi, na wakishindwa watakuwa wamefeli. Humu ushabiki tu hakuna lolote.
 
Wapeleke F22 Raptor kama mbili hivi shughuli iishe, zitakua zinageuza tu kwenda kuongeza mafuta.
Japo wasiwasi wangu ni pale Urusi akiendelea kupigwa hivi anaweza ingia ukichaa wa kubonyeza manyuklia.....
 
Wapeleke F22 Raptor kama mbili hivi shughuli iishe, zitakua zinageuza tu kwenda kuongeza mafuta.
Japo wasiwasi wangu ni pale Urusi akiendelea kupigwa hivi anaweza ingia ukichaa wa kubonyeza manyuklia.....
Hiyo ni yamaonyesho tu na hajaiuza popote hata.mshirika wake wa karibu Israel hajamuuzia na inakaribia kustaafishwa
 
One sided story NB:Ukraine ana Mig na SU versions za Russia
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nyie jamaa ni waongo kinyama mnakuja na madai ya kukomboa km3,000 hivi unajua huo umbali unavuka Mtwara to Mtukula πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
These are square kilometers and not linier kilometres. Please be informed accordingly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…