US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

Sema hapa watunga news ndipo wanapo fail sasa 😂😂😂
 
Sio kwamba vita ni mbichi mkuu hizo ndege Ukrean ndio wanaenda kumaliza vita kusafisha safisha mabaki ya mavamizi yaliyojificha ficha huko Crimea na Mariupo #KaziKAzi tu
 
Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kitambo
Hili ni tatizo dogo, viongozi wa nchi mbalimbali wanapoenda kwa Rais wanapita wapi, first lady mbona anaenda int conferencs zote?
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke.
na unavosikia wanataka kukaa watume inawezekana tayari wameshatren hao wajeshi
 
Ila huu msaada ambao Ukraine anapatiwa na US na NATO utamgharimu Sana siku za baadae....Maana hawa washirika they don't give you a free lunch

Hao wanamuhitaji Ukraine kuliko Ukraine anavyowahitaji wao....

Ulaya na Marekani wanajua Urusi akikamata Ukraine basi na wao watakua wanaishi na wasiwasi mkubwaa..., hawatapata usingizi....

Hivyo hakuna deni lolote Ukraine atailipa Marekani,
 
S300 ni generation ya ngapi na hizo himars ni ya ngapi?? Na mrusi aliziweka hizo kabla ukraine hajapewa hizo himars.l sababu alijua aina ya silaha walizokua nazo ukraine kwa kipindi hiko
Leo ndio Mnasema generation ya ngap lol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati wanatuma ndege watambue kuwa winta inakuja wataisoma number wakikatiwa gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…