Na ndiyo inayeesha hivyo, asilolielewa Mmarekani ni kuwa dunia ya leo siyo ya miaka 30 nyuma.
Watu wameshaamua ukimwaga mboga wanamwaga ugali.
Ni kama Hamas alivywageuka Israel.
Mimi siamini kabisa ujasusi na ulinzi wa Israel na Wamarekani wasielewe kuwa tarehe 7/10 kuna nini kinafanyika. Ikiwa hata Egypt walijuwa na wakawapa alert, kuwa jamani eeh, kuna mambo yanaendelea huko. Wakawaambia msiwe na wasiwaasi tunafahamu na kila kitu kipo undercontrol.
Ndiyo maana nyau mpaka sasa anataka awamalize alioingia nao makubaliano ya nini kifanyike wao wakafanya vingine na wakaona huu ndiyo upenyo.
Lile tukio Israel, USA Egypt na Qatar walikuwa wanalijuwa kabla, lakini lilitakiwa liwe dogo na lisiuwe mtu, kwa bahati mbaya sana, jeshi na waziri wa ulinzi waliambiwa ingine kabisa. Ndiyo maana picha haziendi huko, ule mpango ulisukwa na Mossad na ndiyo wao wameshughulikia diplomasia feki.
Wasaudi pia wanafahamu, lakini wao walidanganywa, hawajuwi kuwa lengo kuu ni wao, walipostuka too late. Sasa hivi unajuwa MBS yupo mavi debe.
Anaombea Mrusi amalize leo vita. Mchina yupo hapo mashariki ya kati kwa sasa kwa kuipa ulinzi Saud9 Arabia, si vingine.
Ykisikia kuwa Wasaudi wanaanzisha uhusiano na kiduku usishangae kabisa. Wanahaha saa hizi.