maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuwa Watanzania wangapi wanafanya kazi kwa Bakhresa, Oilcom, Azania -, GSM na kwa Waarabu wengine kibao waliopo Tanzania?Sisi hatuwataki waarabu, hatuko tayari kuwa tena wapagazi wao kama ilivyokuwa kwenye zama za biashara haramu ya utumwa ambapo waliwahasi watu kama ng'ombe 🐮
Hao kwisha habari yao, Taliban walifunguwa njia.
Sifahamu maana ya NWO tafadhali nifahamishe mzee wanguNadhani umejazwa ujinga na mazayuni ukakujaa. Ghaza hakuna vita ya kidini, mazayuni walioianzisha Israel hawakuwa na dini.
Tatizo la Ghaza ni kubwa kuliko lilivyokuwa la Afrika Kusini, wapigania uhuru na haki dunia nzima wanalielewa hilo. Nakushangaa wewe unaelifanya la kidini.
Hakika, kila Muislam nduguye ni Muislam pia ukumbuke, Uislam ni kimbilio la wanyonge na wapenda haki.
Wewe unaewatetea mazayuni sifahamu sababu zako za kuwatetea, au na wewe ni new world order? Maana mazayuni wametangaza wazi kuwa woa ni new world order. Unafahamu maana yake?
Siku izi umeanza kuwa na akili bibi kizeeeMachafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani.
Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa.
Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha Afrika Magharibi ya kati na hatimae kwetu huku.
Bila kufanya hivyo kibabe, uchumi wa Magharibi utaanguka vibaya sana.
Vyanzo vikuu vya uchumi sasa hivi vinahodhiwa Mashariki ya Kati na Afrika. Nchi za magharibi hazitokubali kabisa nchi źa mashariki, hususan Russia na China kuhodhi na kuwa na kauli kwa mali asili zote hizo.
Kwa sasa ni lazima Saudi Arabia iingizwe kwenye machafuko ikitaka isitake. Sababu ni nyingi mno, zikiwemo za kiuchumi na siasa za Kijiografia (geo politics).
Ikumbukwe, Saudi Arabia na nchi za Kiarabu za Gulf (GCC) ni ng'ombe wa maziwa wa Mmarekani, sasa ng'ombe kaonekana analizowea zizi la jirani kwa kasi kubwa sana, ni lazima adhibitiwe.
Kama hiyo haitoshi, Biden ni lazima amtie adabu MBS kwa jeuri anazomfanyia mara kwa mara. Kwa ushahidi kabisa.
Mrusi nae anawekwa bize na Ukraine ili azma yao kwanza itimie huku, huku kwa sasa kuna faida zaidi kuliko Ukraine.
Sisi huku ni lazima tuzicheze karata zetu vizuri, tusijiingize kwenye mtego wa panya.
😅😅Ogopa sana watu wanaotengeneza ndege inapaa hewani bila dereva
Watu wanatengeneza kidonge.. unakimeza mdomoni ila kinaenda kuponesha mguu
NomaThat was my take, yuou may o you may not agree with me. Each and eveyrone has his/her own perception. What is yours? = Nil.
Hamas wameshasema wao wapo kwao na watzichapa mpaka wamalizwe wote, mtaweza?
Tazama mashoga unaowashabikia wanachezea kichapo Ghaza:
View attachment 2871050
Hahah😀 nikwambie kitu Dada? Mungu wa Biblia YAHWEH anawaambia waabudu wakeNaona unajitahidi sana vita ya kupigania haki na uhuru wa Palestina unaifanya ya kidini.
South Africa nao wanatetea Uislam? Nawafahamu watu kama wewe ndiyo katika wale wajinga ndiyo waliwao au wabarikiwa, mpo na wabarikiwa wenzenu, no matter what.
Kama shida yako ni Uislam basi elewa kuwa sasa hivi duniani kuna Waislam billion 2.
Wamalize kama unaweza, kama huwezi wasikilize, wanakutakia mema.
Hahaha 😃 Dada wewe uko Dunia Gani!! Kama hiyo vita haina baraka ya kitabu chenu Cha Kishetani, tusingeona Waislam kote Duniani mkiimba wimbo na bendera zile zile za kijahidina. Hiyo Palestina ni kisingizio tu. Hamas is an arm of the Muslim brotherhood; Capetown wako na ofisini na S.African Government officials wanafaidika kwa kupata hongo ya fedha Toka Qatar.Naona unajitahidi sana vita ya kupigania haki na uhuru wa Palestina unaifanya ya kidini.
South Africa nao wanatetea Uislam? Nawafahamu watu kama wewe ndiyo katika wale wajinga ndiyo waliwao au wabarikiwa, mpo na wabarikiwa wenzenu, no matter what.
Kama shida yako ni Uislam basi elewa kuwa sasa hivi duniani kuna Waislam billion 2.
Wamalize kama unaweza, kama huwezi wasikilize, wanakutakia mema.
Halafu wewe Dada, mjiandae maana Bado hamja malizana na Mahasimu wenu wa KISHIA. Vita hiyo inawanyemelea huko Iran kati ya ISIS na Iran. Mlivyo mashetani mtakuja na visingizioNaona unajitahidi mjadala kutoka vita kwenda kwenye malumbano ya kidini.
Umeona ya juzi a jana huko Ghaa? Jionee:
View attachment 2871426
Naona unajitahidi sana vita ya kupigania haki na uhuru wa Palestina unaifanya ya kidini.
South Africa nao wanatetea Uislam? Nawafahamu watu kama wewe ndiyo katika wale wajinga ndiyo waliwao au wabarikiwa, mpo na wabarikiwa wenzenu, no matter what.
Kama shida yako ni Uislam basi elewa kuwa sasa hivi duniani kuna Waislam billion 2.
Wamalize kama unaweza, kama huwezi wasikilize, wanakutakia mema.
Sisi hatuwataki waarabu, hatuko tayari kuwa tena wapagazi wao kama ilivyokuwa kwenye zama za biashara haramu ya utumwa ambapo waliwahasi watu kama ng'ombe 🐮
ndio maana mnafadhiri vikundi vyenu ili viue watu hovyo kusimamisha sharia ?
jifunz kuona utofaut kati ya dini yenu ya shetan mmeanzisha vita kuua raia wenu wema ila SA nchi ya kikristu imekujaa juu kuwatetea raia wenu waliopoteza uhai na walio hai , Jisikien aibuVipi Afrika Kusini wamewapeleka mahakamni mazayuni, sababu zake nini?
Halafu wewe Dada, mjiandae maana Bado hamja malizana na Mahasimu wenu wa KISHIA. Vita hiyo inawanyemelea huko Iran kati ya ISIS na Iran. Mlivyo mashetani mtakuja na visingizio
View: https://youtu.be/yoQx-0XDEBE?si=PESTw-BQQ9lT0KAe
Tena??? Mbona hili hatukujadiliana? Anyway . Wazayuni watapigika kinyama. Wanaendelea kuchakazwa kwa sasa wanapukutika kama mbelewele. Gaza hawalali hawakai... Israel kunaanza kubakiwa na magofu tu shenzi type makafir hawa.Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani.
Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa.
Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha Afrika Magharibi ya kati na hatimae kwetu huku.
Bila kufanya hivyo kibabe, uchumi wa Magharibi utaanguka vibaya sana.
Vyanzo vikuu vya uchumi sasa hivi vinahodhiwa Mashariki ya Kati na Afrika. Nchi za magharibi hazitokubali kabisa nchi źa mashariki, hususan Russia na China kuhodhi na kuwa na kauli kwa mali asili zote hizo.
Kwa sasa ni lazima Saudi Arabia iingizwe kwenye machafuko ikitaka isitake. Sababu ni nyingi mno, zikiwemo za kiuchumi na siasa za Kijiografia (geo politics).
Ikumbukwe, Saudi Arabia na nchi za Kiarabu za Gulf (GCC) ni ng'ombe wa maziwa wa Mmarekani, sasa ng'ombe kaonekana analizowea zizi la jirani kwa kasi kubwa sana, ni lazima adhibitiwe.
Kama hiyo haitoshi, Biden ni lazima amtie adabu MBS kwa jeuri anazomfanyia mara kwa mara. Kwa ushahidi kabisa.
Mrusi nae anawekwa bize na Ukraine ili azma yao kwanza itimie huku, huku kwa sasa kuna faida zaidi kuliko Ukraine.
Sisi huku ni lazima tuzicheze karata zetu vizuri, tusijiingize kwenye mtego wa panya.
Ila mbona vita kua ya muda mrefu Ukraine imemneemesha zaidi Urusi kuliko upande wa NATO,,, ulaya nchi nyingi uchumi wake umeshuka ila Urusi umekuaLeo umeongea kama msomi mwenye uelewa wa mambo ya dunia kwa mapana..
Nilishasemaga huku tunachukulia haya machafuko kimihemuko ya kidini, kisiasa na kirangi ya ngozi.. yaan tumejiweka pale ambapo hasa hawa wakubwa wanataka tuwepo..
Ukiona UK nawashirika wake wanaruhusu vita na wanailea ujue iko kwenye mipango yao.. urusi alikosea sana kuingia vitan na ukraine.. putin karudia kosa walilofanya wazee wake walipoingia mtego wa west mwishoe ussr ikavunjika..
Siku zote u super power wa marekani unategemea dunian kuwe hakuna stability hasa kule kwenye malighafi zinazorun dunia
Angalia vita ya dunia marekan anatengenza silaha anauza pande zote.. kilichomfanya aingie vitabya dunia ni baada ya japan kuivamia
Kolon lake la china na taiwan na kuja kulipua pearl Of harbour vinginevyo marekan vitabya dunia ya pili asingeshiriki kama ilivyokuwa ya kwanza.. ndo maana baada ya vita wenzie uchumi Zero yeye umepaa
Wiki chache nyuma tumeona iran watu wamelipua ndan kwenyw miji yAke .. eti ISIS katangaza kuhusika na mashambulizi..
Wakat huo huo ISIS hao na al qaida wote wafadhili wao wako saudia na emirate..
Marekan angekuwa hana maslah na machafuko haya asingeruhusu israel ianzishe vita fasta angetafuta suluhu..
Machafuko haya mbali ya kumpa direct upper hand pia yanampa indirect advantage maama yake inamfanya urusi awe dilema sababu
Nyumban ana vita huku washirika wake wa mashariki ya kati syria na iran hali tete ndo maana unaona ss hv wanaenda kimachale wanajua washachemsha kuleta ubabe wa kizaman kwa ukraine alitegemea west wajibu kwa vita kumbe wenzake wanataka vita iendelee
Saaa hv marekan anaombea Iran direct aingie kwa yemen au palestina Tu basi tuone maazimio ya UN kama yale ya iraq
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.. iran asikubali kupewa jina baya
Historia inaonesha waliolianzisha ni Wakristo walioanza kuwauwa mazayuni kwa kimbari huko ujerumani na ulaya nzima kuwakataa, wakataka kuwapeleka Uganda wakaona kuna jamaa zao wapo Palestina, waakawaleta huko ndiyo kosa, Wapalestina hawana roho mbaya wakawapokea kama wageni wengine wowote.jifunz kuona utofaut kati ya dini yenu ya shetan mmeanzisha vita kuua raia wenu wema ila SA nchi ya kikristu imekujaa juu kuwatetea raia wenu waliopoteza uhai na walio hai , Jisikien aibu
Kama wanataka wang'olewe kama walivyo watang'olewa tuNa ndiyo inanyeesha hivyo, asilolielewa Mmarekani ni kuwa dunia ya leo siyo ya miaka 30 nyuma.
Watu wameshaamua ukimwaga mboga wanamwaga ugali.
Ni kama Hamas alivywageuka Israel.
Mimi siamini kabisa ujasusi na ulinzi wa Israel na Wamarekani wasielewe kuwa tarehe 7/10 kuna nini kinafanyika. Ikiwa hata Egypt walijuwa na wakawapa alert, kuwa jamani eeh, kuna mambo yanaendelea huko. Wakawaambia msiwe na wasiwaasi tunafahamu na kila kitu kipo undercontrol.
Ndiyo maana nyau mpaka sasa anataka awamalize alioingia nao makubaliano ya nini kifanyike wao wakafanya vingine na wakaona huu ndiyo upenyo.
Lile tukio Israel, USA Egypt na Qatar walikuwa wanalijuwa kabla, lakini lilitakiwa liwe dogo na lisiuwe mtu, kwa bahati mbaya sana, jeshi na waziri wa ulinzi waliambiwa ingine kabisa. Ndiyo maana picha haziendi huko, ule mpango ulisukwa na Mossad na ndiyo wao wameshughulikia diplomasia feki.
Wasaudi pia wanafahamu, lakini wao walidanganywa, hawajuwi kuwa lengo kuu ni wao, walipostuka too late. Sasa hivi unajuwa MBS yupo mavi debe.
Anaombea Mrusi amalize leo vita. Mchina yupo hapo mashariki ya kati kwa sasa kwa kuipa ulinzi Saud9 Arabia, si vingine.
Ykisikia kuwa Wasaudi wanaanzisha uhusiano na kiduku usishangae kabisa. Wanahaha saa hizi.
Tatizo lenu wavaa kobazi vina vya waarabu na marekani, Israel mnaangalia kwa jicho la kidiniBora hao mara elfu kuliko wavaa kanzu
Watu wanachomoka chini ya magofu na kufanya yao:Tena??? Mbona hili hatukujadiliana? Anyway . Wazayuni watapigika kinyama. Wanaendelea kuchakazwa kwa sasa wanapukutika kama mbelewele. Gaza hawalali hawakai... Israel kunaanza kubakiwa na magofu tu shenzi type makafir hawa.