Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Magofu yapi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magofu yapi tena?
Okay, lakini walitokea wapi au asili yao ni wapi.Unajuwa Watanzania wangapi wanafanya kazi kwa Bakhresa, Oilcom, Azania -, GSM na kwa Waarabu wengine kibao waliopo Tanzania?
Hao niliokutajia wote Wayemeni na wengine wapo ardhi hii kabla ya babu zako kuhamia Tanganyika.
Wa mbili havai moja.
Hahah😀 nikwambie kitu Dada? Mungu wa Biblia YAHWEH anawaambia waabudu wake
Hahaha 😃 Dada wewe uko Dunia Gani!! Kama hiyo vita haina baraka ya kitabu chenu Cha Kishetani, tusingeona Waislam kote Duniani mkiimba wimbo na bendera zile zile za kijahidina. Hiyo Palestina ni kisingizio tu. Hamas is an arm of the Muslim brotherhood; Capetown wako na ofisini na S.African Government officials wanafaidika kwa kupata hongo ya fedha Toka Qatar.
Eti Waislam wamefika 2billion, so what? Nikwambie kitu Dada FaizaFoxy? Mungu wa Kweli YAHWEH anawaambia waabudu wake ktk 2 Chrinicals 20:15
" ‘Do not be afraid or be terrified because of this large crowd, for the battle is not yours but God’s"
Yahweh atakavyoivunja Ngome ya Kishetani ya Allah (ambaye ni Shetani Mwenyewe) ni kuanzia ndani. Pay attention yanayoendelea Saudia na Iran. Iran wananchi wake wamewakataa Mamullah na Dini yao ya KISHIA, wakati Saudi Arabia Mwana wa Mfalme anàrndelea na Mabadiliko ambayo yatauvunjanunja UISLAM. Utayakumbuka haya maneno
View: https://youtu.be/bDoF0ucdtmY?si=82cTpXyjSbTiVmd3
Unafahamu kuwa majeshi yote ya NATO yamesimamishwa na mtu mmoja tu? Mtambuwe:Magofu yapi tena?
Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani.
Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa.
Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha Afrika Magharibi ya kati na hatimae kwetu huku.
Bila kufanya hivyo kibabe, uchumi wa Magharibi utaanguka vibaya sana.
Vyanzo vikuu vya uchumi sasa hivi vinahodhiwa Mashariki ya Kati na Afrika. Nchi za magharibi hazitokubali kabisa nchi źa mashariki, hususan Russia na China kuhodhi na kuwa na kauli kwa mali asili zote hizo.
Kwa sasa ni lazima Saudi Arabia iingizwe kwenye machafuko ikitaka isitake. Sababu ni nyingi mno, zikiwemo za kiuchumi na siasa za Kijiografia (geo politics).
Ikumbukwe, Saudi Arabia na nchi za Kiarabu za Gulf (GCC) ni ng'ombe wa maziwa wa Mmarekani, sasa q kaonekana analizowea zizi la jirani kwa kasi kubwa sana, ni lazima adhibitiwe.
Kama hiyo haitoshi, Biden ni lazima amtie adabu MBS kwa jeuri anazomfanyia mara kwa mara. Kwa ushahidi kabisa.
Mrusi nae anawekwa bize na Ukraine ili azma yao kwanza itimie huku, huku kwa sasa kuna faida zaidi kuliko Ukraine.
Sisi huku ni lazima tuzicheze karata zetu vizuri, tusijiingize kwenye mtego wa panya.
Unafahamu kuwa majeshi yote ya NATO yamesimamishwa na mtu mmoja tu? Mtambuwe:
View: https://youtu.be/-QEdlA2fTb4?si=E-ZaiRzhxzy4XtOp
Hamas walivyowageuka Israel?walikuwa na urafiki lini?mbona watu wa mudy mnapenda uongo?Na ndiyo inanyeesha hivyo, asilolielewa Mmarekani ni kuwa dunia ya leo siyo ya miaka 30 nyuma.
Watu wameshaamua ukimwaga mboga wanamwaga ugali.
Ni kama Hamas alivywageuka Israel.
Mimi siamini kabisa ujasusi na ulinzi wa Israel na Wamarekani wasielewe kuwa tarehe 7/10 kuna nini kinafanyika. Ikiwa hata Egypt walijuwa na wakawapa alert, kuwa jamani eeh, kuna mambo yanaendelea huko. Wakawaambia msiwe na wasiwaasi tunafahamu na kila kitu kipo undercontrol.
Ndiyo maana nyau mpaka sasa anataka awamalize alioingia nao makubaliano ya nini kifanyike wao wakafanya vingine na wakaona huu ndiyo upenyo.
Lile tukio Israel, USA Egypt na Qatar walikuwa wanalijuwa kabla, lakini lilitakiwa liwe dogo na lisiuwe mtu, kwa bahati mbaya sana, jeshi na waziri wa ulinzi waliambiwa ingine kabisa. Ndiyo maana picha haziendi huko, ule mpango ulisukwa na Mossad na ndiyo wao wameshughulikia diplomasia feki.
Wasaudi pia wanafahamu, lakini wao walidanganywa, hawajuwi kuwa lengo kuu ni wao, walipostuka too late. Sasa hivi unajuwa MBS yupo mavi debe.
Anaombea Mrusi amalize leo vita. Mchina yupo hapo mashariki ya kati kwa sasa kwa kuipa ulinzi Saud9 Arabia, si vingine.
Ykisikia kuwa Wasaudi wanaanzisha uhusiano na kiduku usishangae kabisa. Wanahaha saa hizi.
Wamekukosea nini, mbona una wengi sana Tanzania?
Nawakumbusha tu hatutaki mje tena na nyuzi za kulia liaTena??? Mbona hili hatukujadiliana? Anyway . Wazayuni watapigika kinyama. Wanaendelea kuchakazwa kwa sasa wanapukutika kama mbelewele. Gaza hawalali hawakai... Israel kunaanza kubakiwa na magofu tu shenzi type makafir hawa.
gaza imebaki magofu nenda kaongeze nguvu toka nyuma ya keyboldLeo siku ya 102 kikundi kidogo cha vijna wa mitaani kimeyasimmisha dede mataifa yote yanayojidai vidume kumbe ni wabarikiwa.
View attachment 2871917
Kitu mbacho hukielewi ni kuwa Hamas wameshinda hii vita zamani sana.Nawakumbusha tu hatutaki mje tena na nyuzi za kulia lia
Gaza inafuka moshi ni magofu misikiti imegeuka makabuli we endelea na ngonjela zako nenda kaongeze nguvuKitu mbacho hukielei ni kuw Hamas wameshinda hii vita zamani sana.
Si mnasema ni kikundi cha Kigaidi? Sasa kikundi cha kigaidi malengo yake ni nini?
nahisi hilo swali liko juu ya uwezo wako kulielewa.
Hilo lilitarajiwa na ndiyo maana watu wakaweka Ghaza Metro. Unaijuwa Ghaza Metro?Gaza inafuka moshi ni magofu misikiti imegeuka makabuli we endelea na ngonjela zako nenda kaongeze nguvu
Ogopa sana watu wanaotengeneza ndege inapaa hewani bila dereva
Watu wanatengeneza kidonge.. unakimeza mdomoni ila kinaenda kuponesha mguu
Ndege hata houthi anatengenezaOgopa sana watu wanaotengeneza ndege inapaa hewani bila dereva
Watu wanatengeneza kidonge.. unakimeza mdomoni ila kinaenda kuponesha mguu
Kwani wazungu wanaumoja gani ulowaona naoWaarabu na utajili wote. Kwa nini hawana umoja wa kupigana na wazungu ?
Waarabu kwa nini wanashindwa kubuni silaha zao za vita ili waweze kupambana na uonezi wa wazungu ? Maana hata israel amepelekwa tu na wazungu kwa ubabe kwenye ardhi ya waarabu
Si tumekubaliana kwamba Americant na Uingereza wameanzisha mashambulizi dhidi yaoWaambie magaidi wa Houthi waache kushambulia meli na kuvuruga biashara ya usafirishaji wa meli bahari nyekundu. Haikubaliki kwa sababu zozote zile kufanya hayo mambo yao ya hovyo.
Mambo yamebadilika sana mzee PUT IN kaigeuza vita kwake kua fursaLeo umeongea kama msomi mwenye uelewa wa mambo ya dunia kwa mapana..
Nilishasemaga huku tunachukulia haya machafuko kimihemuko ya kidini, kisiasa na kirangi ya ngozi.. yaan tumejiweka pale ambapo hasa hawa wakubwa wanataka tuwepo..
Ukiona UK nawashirika wake wanaruhusu vita na wanailea ujue iko kwenye mipango yao.. urusi alikosea sana kuingia vitan na ukraine.. putin karudia kosa walilofanya wazee wake walipoingia mtego wa west mwishoe ussr ikavunjika..
Siku zote u super power wa marekani unategemea dunian kuwe hakuna stability hasa kule kwenye malighafi zinazorun dunia
Angalia vita ya dunia marekan anatengenza silaha anauza pande zote.. kilichomfanya aingie vitabya dunia ni baada ya japan kuivamia
Kolon lake la china na taiwan na kuja kulipua pearl Of harbour vinginevyo marekan vitabya dunia ya pili asingeshiriki kama ilivyokuwa ya kwanza.. ndo maana baada ya vita wenzie uchumi Zero yeye umepaa
Wiki chache nyuma tumeona iran watu wamelipua ndan kwenyw miji yAke .. eti ISIS katangaza kuhusika na mashambulizi..
Wakat huo huo ISIS hao na al qaida wote wafadhili wao wako saudia na emirate..
Marekan angekuwa hana maslah na machafuko haya asingeruhusu israel ianzishe vita fasta angetafuta suluhu..
Machafuko haya mbali ya kumpa direct upper hand pia yanampa indirect advantage maama yake inamfanya urusi awe dilema sababu
Nyumban ana vita huku washirika wake wa mashariki ya kati syria na iran hali tete ndo maana unaona ss hv wanaenda kimachale wanajua washachemsha kuleta ubabe wa kizaman kwa ukraine alitegemea west wajibu kwa vita kumbe wenzake wanataka vita iendelee
Saaa hv marekan anaombea Iran direct aingie kwa yemen au palestina Tu basi tuone maazimio ya UN kama yale ya iraq
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.. iran asikubali kupewa jina baya