USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

Bora hao mara elfu kuliko wavaa kanzu
 
Pro Hamas mlikuwa mnasema Israel na USA wanapitia kipindi kigumu...mbn mapema mmeanza mayowe tena
 
Porojo na conspiracies tu, poor you.
That was my take, yuou may o you may not agree with me. Each and eveyrone has his/her own perception. What is yours? = Nil.

Hamas wameshasema wao wapo kwao na watzichapa mpaka wamalizwe wote, mtaweza?
Tazama mashoga unaowashabikia wanachezea kichapo Ghaza:


Your browser is not able to display this video.
 
Waambie magaidi wa Houthi waache kushambulia meli na kuvuruga biashara ya usafirishaji wa meli bahari nyekundu. Haikubaliki kwa sababu zozote zile kufanya hayo mambo yao ya hovyo.
Gmagaid wamaouwa watoto na wanawake ana wanaopiga Mahospitali huwaoni?

Houthi hawasitishi kichapo.

Mmarekani na mashiga wenzake washajulikana ni majigamboi tu, vita hawaiwezi.

Taliban alishafunguwa njia, saa hizi ni ku[pita tu. Jionee:

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna uwezekano mkubwa kabisa majeshi ya ardhini ya Australia na Nepal na labda Pakistan yakaingia kimya kimya kupitia Saudi Arabia kuja kulianzisha na Mahouthi.

Pakistan ndiyo mpaka sasa wanasuasua. islam wao unawaumiza moyo.

Majedhi ya Australia watu 12,000 wameshajikusanya na wapo Ufilipino wanangoja kuambiwa waje tu.

Majeshi ya Gurka ya Nepal wao wapo tayari muda wowote, wapo chini ya Uingereza.

Kuna wengine pia kutokea Srilanka. Wapo tayari.

Hayo majeshi yote yatakuwa chini ya command ya US na UK na gharama zitalipwa na Saudi Arabia na mashoga zao wa GCC.

Kimbembe.
 
Bora hao mara elfu kuliko wavaa kanzu
Are sure because the whole of swahili coast and i beleive including kabaka the king of buganda all wearing kanzu not only waarabu
waarabu we call it either thhob or dishdasha
 
Ungewashauri mujahideen wenzako wa Yemeni waache kushambulia meli kwanza. Wakifanya hivyo, hiyo hofu yako itakwisha.
 
Acha magaidi wapokee kichapo. Hizi story unazoleta zinareflect hofu yako juu ya kuchapwa kwao.
 
Kitu ambacho Bibi Faiza Fox ajakijua ni ..
"HII VITA SIO YA KIDINI, NA YEMENI HAPIGWI KWA AJILI YA UISILAMU WAKE"
sasa ukiona mtu anaiangalia hii vita kwa jicho la kudini ujue hapo kuna Shida.

Tatizo lingine kwa sisi watanzania ni hizi elimu za madrasa nadhani ni wakati sasa wa serikali kuangalia upya kama kwa nyakati hizi haya mambo bado yanafaa kuendelea au la!
 
Bandiko lako limejaaa tafakuri za ndani sana. Ni game play ya watu wa magharibi. Suluhu ya hii ni nini? Kuna haja Africa kuchukua upande,labda Russia, China au UAE?
 
Si ndio nzuri ili tuwashinde mayahudi vizuri. Kwanza tunaanzia kulekule Marekani kutoka kwenye sleeper cells.
 
Huu mchezo ungekuwa mtamu kama Russia , China, UAE wangekuwa na kauli moja.

Actually kuna muda naona Marekani ipo overrated sanaa. Nikawaza kuna mission wanaziuza hawaendi wao ,hata kama ikiwa ni kuokoa watu wao.

Anyway viongozi wa Africa wengi ni wachumia tumbo.
 
mnapoanza mashambuliz mnaona ni kawaida mnapojibiwa mnalialia kuwa anaejib anasambaza vita
 
raia wa siku hz hawapend vita ila raia wa enz hizo walikuwa wapenda vita sana
 
Sisi ni bendera fuata upepo.
Angalia namna wachambuzi wetu walivyo uchwara wakichagua upande kwenye vita vinanvyoendelea
 
Waislam kwa propaganda za kizushi hajambo. like father like children ( Mungu wenu ALLAH (Shetani) ndiye baba wa propaganda za Uongo. Haya sasa mfano ati inasema Russia akiwa kept busy na Ukraine 🙃🙃😄😄 Yaani wewe Leo hii haujui kuwa Russia ndiyo aliyeanzisha hiyo vita!!??
Waambie magaidi wa Houthi waache kushambulia meli na kuvuruga biashara ya usafirishaji wa meli bahari nyekundu. Haikubaliki kwa sababu zozote zile kufanya hayo mambo yao ya hovyo.
Houthis wameonywa mara ngapi, lakini wakakaza shingo.
Hezbollah wanaendelea kufanya uchokozi; ikifika wakaanza kupigwa mtakimbilia kwa Cyril Ramaposa wenu akashitaki ICJ
Halafu subirini tu Trump ndiyo huyo anarudi kiboko yenu. Ndugu zenu Muslim Brotherhood waliojificha US watatimuliwa mmoja baada ya mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…