USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

Waarabu na utajili wote. Kwa nini hawana umoja wa kupigana na wazungu ?

Waarabu kwa nini wanashindwa kubuni silaha zao za vita ili waweze kupambana na uonezi wa wazungu ? Maana hata israel amepelekwa tu na wazungu kwa ubabe kwenye ardhi ya waarabu
Hizo akili za kuunda hizo silaha wanazo? Hao wanachoweza ni biashara
 
Nakumbuka Tarehe 07/10/2023 uliandika uzi mzuri sana baada ya ndugu zako katika Imaan kufanya yale waliyoyafanya.Sisi tunasema wacha magaidi yasakwe na kuuwawa kuanzia Gaza ,Cape delgado hadi Kibiti.
 
Nakumbuka Tarehe 07/10/2023 uliandika uzi mzuri sana baada ya ndugu zako katika Imaan kufanya yale waliyoyafanya.Sisi tunasema wacha magaidi yasakwe na kuuwawa kuanzia Gaza ,Cape delgado hadi Kibiti.
Nadhani umejazwa ujinga na mazayuni ukakujaa. Ghaza hakuna vita ya kidini, mazayuni walioianzisha Israel hawakuwa na dini.

Tatizo la Ghaza ni kubwa kuliko lilivyokuwa la Afrika Kusini, wapigania uhuru na haki dunia nzima wanalielewa hilo. Nakushangaa wewe unaelifanya la kidini.

Hakika, kila Muislam nduguye ni Muislam pia ukumbuke, Uislam ni kimbilio la wanyonge na wapenda haki.

Wewe unaewatetea mazayuni sifahamu sababu zako za kuwatetea, au na wewe ni new world order? Maana mazayuni wametangaza wazi kuwa woa ni new world order. Unafahamu maana yake?
 
Naona unajitahidi sana vita ya kupigania haki na uhuru wa Palestina unaifanya ya kidini.

South Africa nao wanatetea Uislam? Nawafahamu watu kama wewe ndiyo katika wale wajinga ndiyo waliwao au wabarikiwa, mpo na wabarikiwa wenzenu, no matter what.

Kama shida yako ni Uislam basi elewa kuwa sasa hivi duniani kuna Waislam billion 2.

Wamalize kama unaweza, kama huwezi wasikilize, wanakutakia mema.
 
Sisi ni bendera fuata upepo.
Angalia namna wachambuzi wetu walivyo uchwara wakichagua upande kwenye vita vinanvyoendelea
Nawashangaa sana Waafrika tusiojielewa, wanafikiri kabisa kuwa sisi yupo salama, hawaelewi kuwa kinaitwa "rush to Africa". Kila mmoja anataka pande la Africa alimege yeye.

Kinachoendelea sasa hivi huko Mashariki ya kati ni muendelezo tu wa yaliyoanzia Libya frika, na Iraq Arabian Gulf.

Wamarekani waitangazie dunia mara ngapi? "You are either with us or you're against us."

Si wengi wanaoelewa kuwa hayo ndiyo ya New World Order.
 

Hawana shida na Makkah na Madina, wao shida yao ni MBS asijidai kuhamisha zizi, bado kuna maziwa mengi ya kukamuliwa.

MBS alianza ujeuri za wazi kwa Biden, alimkatalia kila alitakalo na akaanza kuelekea mashariki kwa kasi.

Hilo ni kosa kubwa kwenye falsafa yao ya "you are either with us or you're against us".
 
USA and UK vita kwao ni kawaida na huwezi kusikia wameshitakiwa kokote kule , HIROSHIMA VIETNAM, IRAQ , AFGHANISTAN, LIBYA ,YEMEN, wao wanapiga mabomu tu
 
UAE hawei kufurukuka kwa Muingerea na Mmarekani, alishatiwa mfukoni miaka mingi sana. Yupo tayari kupiga ndugu zake wa yemeni ili abakishwe madarakani kwa ulinzi wa USA na UK.

Hayo ni kwa nchi zote za GCC, hapo ambae hayupo nao ni Yemen na Syria tu, na hao wanafanyiwa kila njia wasifirikute.

Yemen kwa mafuta waliyonayo ardhini kwao, siyo nchi ya kuwa masikini hata kidogo.
 
Listen to this brave south african foreign minister
God bless mandela children
thank you Namibia
when you fund terrorism in Africa to kill christians but we christians pray good for you , and see who worship true god
 
waislam wanamwabudu shetan hata wao wanaelewa hilo , angalia akili za waislam zinawaza ujinga muda wote
 
ujinga uliandika mwenyewe ushaanza wasingizia wazayuni , hv unahis watu wote humu wajinga kama wewe?
 
SA anatumiwa na Iran , huez elewa bibi kizee ila mwisho wa siku sunni hawawez shinda vita hii , shia ndo watakuja kuwa washindi na bado itakuja vita nyingine hapo Gaza ya kupambana dhidi ya shia
 
ndio maana mnafadhiri vikundi vyenu ili viue watu hovyo kusimamisha sharia ?
 
USA and UK vita kwao ni kawaida na huwezi kusikia wameshitakiwa kokote kule , HIROSHIMA VIETNAM, IRAQ , AFGHANISTAN, LIBYA ,YEMEN, wao wanapiga mabomu tu
hupigana kwa sababu maaalumu kama zile mlizotumia kumtetea Urusi
 
waislam wanamwabudu shetan hata wao wanaelewa hilo , angalia akili za waislam zinawaza ujinga muda wote
Naona unajitahidi mjadala kutoka vita kwenda kwenye malumbano ya kidini.

Umeona ya juzi a jana huko Ghaa? Jionee:

Your browser is not able to display this video.
 
Hizo akili za kuunda hizo silaha wanazo? Hao wanachoweza ni biashara
Waarabu siyo watu wa vita ni watu wastarehe.

Wanatengeneza pesa, wanakuja Tanzania wanaoa wanyamwezi, wanakula bata.

Unafahamu kuwa Wayemeni wana mafuta chini ya ardhi yao kuliko unavyofikiria. Jiulize kwanini hawawayachimbi kwa wongi mpaka sasa?
 
Sisi hatuwataki waarabu, hatuko tayari kuwa tena wapagazi wao kama ilivyokuwa kwenye zama za biashara haramu ya utumwa ambapo waliwahasi watu kama ng'ombe 🐮
 
Bora isije huku kwetu,na vimishale vyetu sijui tutakimbilia wapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…