Mbona hatuwaoni waingereza wakichoma mahindi Kariakoo?Hivi unayajua maisha ya Uingereza au unaropoka tu?
Yaani kuishi 2nd tier city nchini China kama Chengdu ni bora kwa mbali kuliko London.
Hapo sizungumzii 1st tier cities kama Shanghai au Shenzhen
Wanapigika wakiwa kwaoMbona hatuwaoni waingereza wakichoma mahindi Kariakoo?
Maisha ya Uingereza ni nafuu kuliko ya sehemu yoyote China, hapo Kariakoo wachina wanafanya umachinga mpaka wanachoma mahindi
Maisha ya Marekani yanaendana na mshahara unaolipwa. Hata wewe unatamani uende MarekaniHuyu hapa Roma Mkatoliki yuko Marekani angalia anavyolalamika maisha ya huko.
Vijana wa kibongo mnavyoona movies za Hollywood na videos za music mnafikiri kiwanja life ni jepesi sana
View: https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1917591600483688901?t=PqGJetadExVo7fzFlr3kvA&s=19
Uingereza ni nchi tajiri duniani kuliko China hata mishahara wanaolipwa waingereza ni mizuri kuliko wananchi wa China.Wanapigika wakiwa kwao
Kuna vitu hatuhitaji hata kubishana humu
Hebu nenda hata kagoogle kati ya China na Uingereza wapi kuna unafuu wa gharama za maisha
Maisha ya Marekani yanaendana na mshahara unaolipwa. Hata wewe unatamani uende Marekani
Uingereza ni nchi tajiri duniani kuliko China hata mishahara wanaolipwa waingereza ni mizuri kuliko wananchi wa China.
Mchina kuja kuchoma mahindi na kufanya umachinga Kariakoo kwao ni maisha magumu sana.
Wewe upo nchi ya kitajiri, unataka uuziwe soda 600 kwa hela ya kitanzania.
Mchicha wa 200 kwa hela za kitanzania, uingereza unaweza kuuziwa kwa laki moja lakini bado watu wanahela.
Anacheza Brightons na Wolves watu wamejaza uwanjani lakini angalia China, maisha magumu. Bado watu wanatafuta hela ya kula.
Ushawahi kuona watalii wa kichina Tanzania?
Ulaya Magharibi hakuna mji kama Miami au mji kama New York City au Los Angeles
Pia Ulaya Magharibi miji ya maana ni Paris na London, miji mingine haiingii hata
Kwani Mbeya na Shanghai wapi kuna maisha ya gharama ya chini? Jibu ni Mbeya si ndio.Wanapigika wakiwa kwao
Kuna vitu hatuhitaji hata kubishana humu
Hebu nenda hata kagoogle kati ya China na Uingereza wapi kuna unafuu wa gharama za maisha
Uingereza bidhaa bei ghari, mishahara mikubwa na pesa ipo. Uingereza ukibeba box au kufanya kazi ya kufagia na kuzoa taka, unalipwa mshahara sawa na wa manager wa bank Tanzania na China.Kwa hiyo tumekubaliana kuwa Uingereza kuna gharama kubwa za maisha kuliko China?
Maisha yangekuwa rahisi China, usingeona wachina wanachoma mahindi Kariakoo, kuuza mitumba na kazi ndogo ndogo mpaka wananchi wanalalamika Kariakoo.
Hapo Zimbabwe na Zambia wachina wanauza mpaka mboga za majani.
Unajua kuwa kuna idadi kubwa ya Wachina Marekani na kila siku wanakwenda huko? China hakuna maisha mazuri kuliko Marekani.
Marekani ni rahisi kupata pesa kuliko China ndiyo maana huwezi kuona watu tofauti na wachina wanaenda China kutafuta maisha.
Marekani kuna fursa nyingi sana, muziki, uigizaji, mpira, ngumi (boxing, mieleka, kick boxing n.k), kuna mashindano ya kuvuta magari n.k
Hapo Uingereza kubeba box na kufagia na kuzoa taka mtaani analipwa pesa nzuri kuliko manager wa bank China. Hata hapa Tanzania, wachina wanalipa pesa kidogo sana halafu kazi ngumu
Hiyo haimanishi China kuna maisha rahisi kuliko Marekani.Ulishawahi kujiuliza kwa nini Wamarekani wengi wanaishi kwa credit cards?
Kinachozungumziwa ni Purchasing Power Parity kwenye huduma na bidhaa, Shanghai unapata huduma na bidhaa bora zenye quality kama London kwa gharama ndogo na quantity kubwaKwani Mbeya na Shanghai wapi kuna maisha ya gharama ya chini? Jibu ni Mbeya si ndio.
Je utasema watu wa Mbeya wana maisha mazuri kuliko Shanghai eti kwa sababu Mbeya ni cheap kuishi kuliko Shanghai?
Kuna faida gani ikiwa ukirudi kitaa bei ya bidhaa na huduma ni kubwa?Uingereza bidhaa bei ghari, mishahara mikubwa na pesa ipo. Uingereza ukibeba box au kufanya kazi ya kufagia na kuzoa taka, unalipwa mshahara sawa na wa manager wa bank Tanzania na China.
China maisha ni magumu, bidhaa bei ya chini, pesa hakuna na kazi zina ujira mdogo sana.
Idadi ya watalii kutoka Uingereza kuja Tanzania ni kubwa sana kushinda China. Sijawahi kuona mtalii wa kichina anakuja kuangalia mlima Kilimanjato
China maisha ni rahisi kuliko MarekaniHiyo haimanishi China kuna maisha rahisi kuliko Marekani.
Kupata pesa Marekani ni rahisi sana kuliko China.
Kule Marekani kila binadamu mwenye tabia amewekea fursa ya kupiga hela. Ukipenda kupigana nenda kwenye mieleka, unapenda ngono nenda kwenye casino au ukacheze video, unapenda basktball nenda huko NBA labda uwe mvivu tu.
Ningekuwa Marekani, sasa hivi ungeniona kwenye WWE
Zingatia neno....Uzuri wa miji au majiji sio majengo tu, ni pamoja na fursa zake, historia , ustaarabu na utamaduni wake.
Linapokuja suala la Chaina...uko vizuri sana kutetea, kila la heri kwakoChina maisha ni rahisi kuliko Marekani
Linganisha bei za bidhaa na huduma zilezile zinazopatikana China na Marekani kwa USD utajionea
Huwezi kupima uwezo wangu wa kuchanganua mambo na hata hunijuiKinachozungumziwa ni Purchasing Power Parity kwenye huduma na bidhaa, Shanghai unapata huduma na bidhaa bora zenye quality kama London kwa gharama ndogo na quantity kubwa
Sasa unaanzaje kulinganisha quality ya bidhaa na services za Mbeya na Shanghai?
Ndiyo maana tangu jana nilisema kwenye huu uzi kuwa vijana wa Kiafrika mna uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo
Huwezi kupima uwezo wangu wa kuchanganua mambo na hata hunijui
Just because mtu ana opinion tofauti na zako it doesn't mean they are not smart or by any chance you're smarter than them
Stop using this aggressive way of replying to people. It's so mean and boring
Huwezi kupima uwezo wangu wa kuchanganua mambo na hata hunijui
Just because mtu ana opinion tofauti na zako it doesn't mean they are not smart or by any chance you're smarter than them
Stop using this aggressive way of replying to people. It's so mean and boring