USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

Huyu hapa Roma Mkatoliki yuko Marekani angalia anavyolalamika maisha ya huko.

Vijana wa kibongo mnavyoona movies za Hollywood na videos za music mnafikiri kiwanja life ni jepesi sana


View: https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1917591600483688901?t=PqGJetadExVo7fzFlr3kvA&s=19
 
 
Hapo Uingereza kubeba box na kufagia na kuzoa taka mtaani analipwa pesa nzuri kuliko manager wa bank China. Hata hapa Tanzania, wachina wanalipa pesa kidogo sana halafu kazi ngumu
Hivi unayajua maisha ya Uingereza au unaropoka tu?

Yaani kuishi 2nd tier city nchini China kama Chengdu ni bora kwa mbali kuliko London.

Hapo sizungumzii 1st tier cities kama Shanghai au Shenzhen
 
Kwa mandhari nzuri ya miji China wako mbele sana lakini kwa fursa mbalimbali za kiuchumi Marekani iko mbali mno
 
Marekani wana sheria ngumu kwa wageni tofauti na China ndio maana unaona ajira kwa watu wa kawaida zipo tofauti na China ambako leo unaweza kwenda kufata Visa na ukawa na uhakika wiki hiyo hiyo ya safari wakati USA kitu kama hicho hakipo..
Suppose una degree zako na experience ya kazi nchini kwako then baadae unaanza kutafuta opportunities nchi za nje
Iwe ni Mechanical Engineer, mwalimu, mhasibu, mbeba maboksi, mwosha magari au kazi yoyote ni rahisi kupata ajira Marekani kuliko China
China hata kupata citizenship ni Impossible
 
Mbona hata kwenye movie za Hollywood huwa wanalalamikia taxes
Marekani kodi ni kubwa of course, na mzunguko wa pesa ni mkubwa pia plus ni rahisi kuzipata uwe mchina, mbongo nk kuliko China
 
Maisha ya Uingereza yapoje?
Kuanzia rent cost ya jiji kama London na vyakula ni habari nyingine

Mbona hata kwenye movie za Hollywood huwa wanalalamikia taxes
Marekani kodi ni kubwa of course, na mzunguko wa pesa ni mkubwa pia plus ni rahisi kuzipata uwe mchina, mbongo nk kuliko China
Mzee kupata pesa na huku cost of living iko juu kuna faida gani? Umesoma vizuri anachosema Roma kwenye screenshot ya pili?

Nilishasema mambo yanakuwa magumu mpaka wengi wanaishi kwa kadi za mikopo

Vijana wa Kiafrika mna ujinga mwingi sana kwenye kuchanganua mambo. Akili zimelala mno
​
 
Kama unapenda freedom, diversity, and creativity, USA inaweza kukuvutia zaidi,,but kama unathamini efficiency, order, and modern development, basi miji ya China inafanya vizuri sana.

Kiufupi,, China cities are more advanced and orderly, while USA cities are more diverse and open
 
Ukitaka kwenda kununua Kung Fu shoes nenda China, maana hata kaburi la Bruce Lee lipo Seattle, WA
Jamaa alizikwa Lake view cemetery, lakini alizaliwa pia San Francisco CA kwenye hospitali ya kichina...wachina waliona mbali, yan mwaka 1940 walikuwa washajijengea hospitali yao CA hawataki kurudi kwao,and sio mchezo, Jet lee mwenyewe alishawah kuna mmarekani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na wenzetu hewa wanayovuta ni safi,sisi huku hewa tunayovuta imejaa uvundo.
 
Tanzania:
1. Chalinze


2. Mtwara
3. Kigoma

4. Tabora
 

Attachments

  • 1749086754453.png
    376.2 KB · Views: 16
  • 1749087197031.png
    104.6 KB · Views: 30
  • 1749087269507.png
    105 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…