USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

Uongo mkubwa. Marekani haizalishi??
Wew unatumia mini
Babble economic ukitokea threat yoyote dunia unaporomoka hatakama ni ya uongo
 
Miaka ya sitini china wanaweza kuwa walikuwa na uchumi mdogo lakini hawakuwa masikini
 
Ndivyo ilivyo au unataka iwe hivyo?
Kuna tofauti kubwa kati ya situations hizo mbili. Hakuna duniani nchi inayoikaribia marekani katika technology. Tofautisha technology na MVA (Manufacturing Value Added).
Yaani Qualcomm ni kampuni iliyopo Chicago na Samsung ipo South Korea.

The whole brain is coming from Chicago (Qualcomm's Snapdragon), user interface licensed by a San Fransisco company (Google) ila simu Manufactured by Samsung.
Jeshi na Sarafu?
GPS is owned by US, yaani imeachia private GPS free itumiwe duniani na ikitaka inazima GPS.
Na hakuna nchi duniani inayoipita Marekani kwa kuuza chakula Duniani, au mazao ya kilimo.
 
Mkuu kuna watu wamezoea vile viwanda vya kichina vya mitaji ya tsh. Million 10 kama vile vya Mwijage wa kipindi cha jiwe vilivyotapakaa China basi wanajua uyo ndo anazalisha. Hawajui kwamba kampuni moja ya kimarekani kama coca cola mtaji wake ni mamia ya viwanda vya kichina
 
Ndivyo ilivyo au unataka iwe hivyo?
Kuna tofauti kubwa kati ya situations hizo mbili. Hakuna duniani nchi inayoikaribia marekani katika technology.
Una hakika na unachosema au unaishi katika nyakati zilizopita ?
 
Unaongea ujinga hakuna kiwanda cha mtaji wa Tshs 10mln mtaji usiofikia hata pesa ya kufungulia genge la kuuzia bidhaa za majumbani.

Huna akili
 

Kama ni hivyo Marekani watakua wanaishia kwa dhiki sana kumbe hamna kitu. Sasa kwanini wachina kila siku wanakimbilia Marekani?
 
Kiwanja ni kimoja tu- USA.

Kila mtu duniani ndoto yake ni kufika Marekani. Kizimkazi nasikia kacheza green card lottery πŸ˜…
 
Now ndio wako kwenye program ya kurudisha manufacturing US, imekuwa ni sera ya trump tokea aliposhika madaraka awamu ya kwanza, lakini pia even biden kalizungumzia hili suala sana.
Wameshaanza kujenga baadhi ya viwanda, starting with chips manufacturing, wanaondoa dependency kutoka taiwan, incase wakivamiwa na china

But yes hiyo ilikuwa moja ya mistakes, japokuwa idea ilikuwa ni kupata cheap labour na ku expand ushawishi dunian
 
Utajiri wa soko la hisa sio lazima uakisi uhalisia wa kilichopo
Kama ni hivyo Marekani watakua wanaishia kwa dhiki sana kumbe hamna kitu. Sasa kwanini wachina kila siku wanakimbilia Marekani?
Wanapenda Marekani sio wachina kapuku, anaeyeenda Marekani tayari anajiweza; huko unakuta wanaenda kwajili ya fursa mpya za kiuchumi na elimu (utakuwaje kiwanda cha uzalishaji wa bidhaa za dunia bila watu wako kwenda hizo nchi kuteka masoko)
 
Washachelewa; by the time wafanikiwe kuridhisha viwanda nyumbani China itakua ishaanza expand manufacturing base kwenda third world economies
 
Washachelewa; by the time wafanikiwe kuridhisha viwanda nyumbani China itakua ishaanza expand manufacturing base kwenda third world economies
Thats right, in their vision mpaka 2035 watakuwa wameondoa dependency on outside manufacturing
 
Miaka ya sitini china wanaweza kuwa walikuwa na uchumi mdogo lakini hawakuwa masikini

inategemea kwako umaskini maana yake nini, mamilioni ya watu (>50 million) walikufa njaa china wakati wa mao, sasa tajiri atakufaje njaa, kama mtu mwenye akili timamu anakufa njaa maana yake ni kwamba hana chakula na hana uwezo wa kununua chakula, hapa siongelei lishe au sijui utapia mlo ambapo mtu anakosa afya kwa kukosa lishe bora bali naongelea kukosekana kwa chakula kabisa na kufariki kwa njaa, ilitokea china miaka 60’ , sasa sijawahi kusikia tanzagiza watu wengi namna hiyo wakifa kwa kukosa chakula labda ilishatokea lkn sina ushahidi lkn ilitokea Ethiopia pia …
 
Hisa za nini? Za hewa? Sio za za makampuni na viwanda??
Coca-Cola, adidas, iPhone, dell, Pfizer n.k wakiuza hisa sio viwanda vimeuza hisa??
Umemuuliza vzr. Hizo hisa za hewa..? Kama sio makampuni makubwa saana imagine kampuni kama apple ambayo ni kubwa sana njoo kule boeing nk makampuni/viwanda vikubwa vipo US aaache upuuzi wake. Eti Us haina viwanda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti haizalishi. Hizo boeing, iphone nk ni mawe yakuokota ty aman
Nitajie kiwanda cha china kinachozidi tu boeing..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…