Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Wengine wanafanya kusudi anaacha kusubiria gari nyingine zije anataka apande hiyo hiyo mliyojazana ili apishwe.

Mimi sipishi mtu kama mtoto lete nikushikie.
Eti mtu sehemu kama rangi 3, makumbusho unakuta mchana gari zipo foleni tena sitaki asimame karibu yangu
 
Halafu mnasema Delila alimdanganya Samsoni. Hapo kuna watu wako wa karibu wengi tu wakikuomba hela unawaambia huna halafu unaenda kumpa mdada uliyekutana naye kwenye basi!
 
Eti mtu sehemu kama rangi 3, makumbusho unakuta mchana gari zipo foleni tena sitaki asimame karibu yangu
Yani kuna watu wana makusudi na ndio maana mimi kwenye daladala sikai siti ya mlangoni. Kila mtu anajua ametokaje kwenye safari yake, umejichokea zako ukazunguka na daladala upate siti halafu kirahisi rahisi tu umpishe mtu na huku miguu inawaka moto.
 
Wanawake na tumbo lake anapanda daladala limefurika aaanza kujisogeza kwenye kiti alicho kaa mbaba kwa kutegwa ili apishwe.

Ki ukweli wakina mama hupenda sana mteremko.

Kwa wakristo mnaenda makaburini kuzika huku nyuma wanawake hawaziki bali wnakimbilia kuwhi siti kwenye magari.
 
Halafu mnasema Delila alimdanganya Samsoni. Hapo kuna watu wako wa karibu wengi tu wakikuomba hela unawaambia huna halafu unaenda kumpa mdada uliyekutana naye kwenye basi!
Hapo sasa huyo Delila si alimtongoza yeye mwenyewe, na huyo Adam yeye ndiye alipewa maagizo na Mungu kilicho mfanya amuache Eve aende pekeyake ni kitu gani kama si uvivu ningekuwa Mungu ningemlamba mabao yakutosha kabla ya sijamuuliza chochote
 
Yani kuna watu wana makusudi na ndio maana mimi kwenye daladala sikai siti ya mlangoni. Kila mtu anajua ametokaje kwenye safari yake, umejichokea zako ukazunguka na daladala upate siti halafu kirahisi rahisi tu umpishe mtu na huku miguu inawaka moto.
Umetoka zako huko halafu mwingine anakuja na mbwembwe zake kisa atapishwa huwa nawashangaa halafu mnashuka wote mwisho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanakaa wao kazi yao kutizama wanawake miili inavyotikisika
Umeona eeeh hafu Dar kuna watu wana matumbo ka wajawazito kumbe ni ktambi cha bia na kitimoto, in short MTU akiwa kakaa ana matatizo yake
 
We mwenye huruma kwanini usimpishe mpaka unaanza kugusagusa watu hovyo!
Mtakuja kupata makesi ya ajabu
H a ha haaaaaaa hapana Mkuu yawezekana nilikuwa nshampisha mwingine hafu akapanda mwenye mtoto utafanyaje?πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…