Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Licha ya kupisha wakati wakupanda wanawake wanavyopigwa viwiko, halafu mtu anashuka kituo cha tatu
 
Sema wanaume pia tunapenda kusimama kwenye daladala kwakweli, hapa wataelewa wenye akili kama zangu tuh
 
Kwa hili wanaume najua mtaivuta sana ngoma sababu nyie ndio mnaoiwamba.

Ila mwisho wa siku kila mwenye busara awe mwanamke au mwanaume basi atampisha tu mtu mwenye hitaji la kukaa.
Hilo neno
 
Haaaaaa Mkuu upooo?
Naona umenirukia kama mweweeeee. but siku zote ambazo napanda daldala sijawahi kumwona mwanamke anampisha mwanamke mwenzake especially wajawepesi na wenye watoto. Huwa naona sisi wanaume ndo tunakuwa wa haraka kuwapisha.
Hili sikubaliani kabisa huwa wanapishana mkuu
 
Kuna wakati mwingine anakichanga tumboni kizungu zungu balaa, mwingine kiuno usiombe asilaumiwe mwanamke tu
 
Kuna wengine wanazurula hao kariakoo kila siku kwenye jua wamo mvua wamo, kuna siku 1 mwandishi wa habari alimuuliza mdada na wewe na mtoto jua lote hili watoka wapi eti kumsalimia shangazi hapo mtoto ni mgonjwa, kaambiwa kwaninj huyo aunt wako asije muona mtoto nyumbani kwako, piga picha hata waume zao wana matatizo kwanini wasiwazuie wake zao!
 
Ha ha ha hahaaaaaaaaa
Haya bana
 
Katika ulimwengu huu hakuna kiumbe mwenye roho mbaya kwa binadamu mwenzie kama mwanamke. Na hii ndiyo maana ibirisi anawatumia sana kufanikisha mambo yake.
1. Alomdanganya Adamu kula tunda ni mwanamke - tena mke wake

2. Alosababisha Samsoni mwenye nguvu nyingi auawe ni mwanamke tena mke wake ...

Wanawake hawapendani, hawapendi hata wanaume ... akikupenda ujue kuna kitu kakiona kwako!
 
Naona unabase upande mmoja wa kujitetea/kuwatetea
Ndiyo ukweli huo u aweza kuta sawa mama kijacho kapanda ni mdogo hata kwa umri , na mle kuna vijana wa
kiume wadogo wamekaa lakini mie jitu zima ndiyo natizamwa nimpishe huyo mjamzito, sio fair kabisa
 
Hivi utovu wako wa nidhamu wa kutotii maagizo ya Mungu unataka kumsingizia mwanamke! Ni ajabu!
 
nan alikutuma kupewa mimba na mwanaume asiye na gari? c kiherehere chako tu
 
Licha ya kupisha wakati wakupanda wanawake wanavyopigwa viwiko, halafu mtu anashuka kituo cha tatu
Umeonaeee...Kikwetu hivo vinaitwa vipepsi.Mwaka 2012 daladala za Kimara posta nilipigwa kipepsi na mwanababa mmoja ana misuli ya John Cena siwezi sahau.Niliona giza Kama dk 5 hivi.
 
Duuuhh kaazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…