Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Acha uongo sio kwa Africa! Nchi gani Africa imefanikiwa kuweka bei ya chini?. Suala liko kwenye mazingira ya biashara hasa kutokuwa na uwezo wa uzalishaji wa vipuri na huduma za ndege na pia kodi zisizo rafiki na udogo wa soko kutokana na umasikini.
Fast jet nilikata tiket ya kwenda na kurudi SA kwa Tsh 360,000 gawanya ujue ticketi moja ilikua Tsh ngapi usibishe kama vitu huvijui tulikua tunakata tiket moja kuja Daslm kwa rand 1600 inategemena na season maana nazo zinashuka na kupanda kutokana na season...
 
Kwa hiyo wanamfumo tofauti na soko lote la usafiri wa anga. Pili nchi kama hiyo utakuta mambo niliyosema Serikalini inatoa ruzuku na hakuna msululu wa kodi. Mafuta karibu na bure
ndo kwann serikali yako isifanye hivyo , ndo hoja ya mkuu hapo
 
hakuna kununua mahindi?
 
Watu hawana exposure , haladfu badala ya kujifunza wanakuwa wabishi
Fastjet nilikuwa naenda mwanza kwa sh 38500,
 
Lakini pia budget airline wana structure yao ya cost management ,
Hamna refreshment, zile 100g korosho tunazopewa onboard na atcl , utrack bei unaweza kuta ziinacost upwards 20k ba gharama lazima ije kwenye ticket yako budget airlime wana discourage mizigo , hakuna allowance ya free 20kg,
Rayn air kwa mfao hadi namna ya landing ni kwa kusave mafuta , yote hayo ili wauze ticket kwa bei nafuu.
 
Pana bus nyota 5 wanazo Greyhound wana balaa wale jamaa seat sidhani kama zinazidi 16 chini wanagawa vinywaji na chakula juu ndio seat zipo niliwahi panda mara moja tuu...zile bus za Zambia zenye body ya IQ 10 zinasubiri sana...
 
Nimaanisha bei ikipunguzwa taratibu za kiusalama zibaki pale pale. Punguzo liathiri faida tu ya kampuni, ndiyo maana yangu mkuu
 
Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa uzundizi..ndio ikaonekana lazima angalau pia ibebe abiria kadhaa.
Hivi uzinduzi ni kitu cha lazima mkuu? Kwa maoni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…