Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Hongera kupunguza gharama za usafiri, last time nimetoka Dsm - Mwanza kwa Atcl nauli ilikuwa 427,370.45. Kwa gharama hizo ina maana kuna punguzo la zaidi ya shilingi 300,000.

Changamoto ya Ndege hizi za Auric nadhani ni udogo, wakati niliposafiri nazo kutoka Dsm kwenda Arusha tulipofika juu usawa wa Mlima Kilimanjaro nilitamani kuzimia, yaani was like kama ndege inataka kuangua kwa kuzidiwa na kasi ya upepo.

Kama mtaweza mngeongeza route za Dsm - Mbeya - Dsm na Dsm- Dom - Dsm

By the way Hongereni sana kutusaidia wasafiri πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Leo nikuwa naangalia emails za fast jet , kuna itinerary ya tsh 236,000 , dar jo burg.
Hao jamaa walipigwa vita balaa aisee na mimi nilijua tuu hawawezi kudumu wapo wana route za JHb to Livingstone mabwenyenye kiboko wameipiga vita harafu wameitafutia route yao isiyo na Upinzani pana kipindi kushuka Oliver Tambo walikua wanafanyiwa figisu balaa mara gharama zao walizolipia hazionekani mnabaki kuchelewa kutoka Kaburu mafia sana ile route hataki upinzani kabisa hata ile ya kukamatisha ndege yetu na Mkulima ni umafia wa hiyo Route ina wateja wengi mno...
 
Leo nikuwa naangalia emails za fast jet , kuna itinerary ya tsh 236,000 , dar jo burg.
fasjet nilikua anawakubali sana sema mbinu zao zilikua poa sana ndege moja ya wakati mmoja kila mtu anapanda kwa bei yake kadri utakvyowai kukata ndio kadri unapata bei ndogo kulikua na bei ya 38000 mpaka laki tatu ndege iyo iyo
naona waliku wanaweka bei mafano vitu 3 kwa 38000, 3 kwa 48000, vinne kwa 69000, ivyo ivyo mpaka laki tatu
 
H
 
Season Gani inapanda
 
Mkuu hio ni one off. Ndege siku hio ina kazi Mwanza wakaona isiende tupu ndio wametoa hio offer.
 

Nimecheka hapo pa kuzimia
Warudishe fastjet tu tundege tudogo tunatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…