USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Itakuwa ni kiama kama alivyosema Prof Tibaijuka.
 
Mimi akili yangu inaniambia kuwa mission ya kuanzishwa kwa USAID imekamilika na sasa wanaiondoa.
Kama siyo mission Trump asingeamka from no where na kulifuta. Wameona sensa inaonesha kuwa jamii yetu imeshakuwa chronic tayari kwa matumizi ya ARV na vitu vingine hivyo ni muda muafaka wa wao kupunguza population (rasilimali watu) huku wakipiga pesa zaidi kwa mauzo ya dawa kwa watakaoweza.

Kweli Amerika wametukomoa, ndugu zangu tutaangamia sana kwa hofu.
 
Itakuwa ni kiama, ARV zilivyoghali.
 
Noma sana
 
Jiwe alikuwa mpigaji tu kama wapigaji wengine, aliwatumia sana nyie mnaojiita wanyonge kupiga pesa huku nyie wanyonge mkishangilia

Sema lolote ila aliweza mengi mazuri kuyafanya.. Hata kama unasema aliiba basi alikuwa smart sanaaaa hakunaga kutokea nchini..

Bado ni bingwaaaa eti? 😂
 
Every dollar we spend should,
one, make America great, second Secure, and third prosperous.
Nje ya hapo hakuna kutumia pesa za walipa Kodi, USAID ilikuwa inaendeshwa kama ilivyo TANAPA ,TAZAMA hapa bongo,
Wanajipangia matumizi, hakuna anayejua wanakusanya ngapi, anayetumwa kuwakagua, anachapwa mountain, anapiga kimya,
Kwa mujibu wa waziri wa Mambo ya nje (state secretary) wa USA, USAID walikuwa, hawafati maelekezo ya, Sera ya Mambo yq, nje ya America, wanakuwa wagumu kutoa majibu kwa wawakilishi wa, wananchi,Congress, wanapotakiwa, walijifanya kama "Global charity organisation" You can't be a charity using tax payers money"
Hapa bongo wanamiradi ya kutunza sokwe,"sasa kutunza sokwe kuna tija gani katika Mambo Yale matatu! Safe, prosperous, great!
Samia aache kununua ma v8 kila mwaka,DC wa Dar unampa Prado VX 4wheel! Ya nini,? Amepewa, kazi, aende kwa usafiri wake, kwani anatofauti gani na, Mwalimu? Wote ni watumishi wa umma!
Ma DC, RC, hivi vyeo vifutwe, wilaya zipunguzwe, maeneo yq utawala hayana tija, badala yake,ziongezwe while, hospitari,
 
Hii ya kufanya bila kufuata maelekezo ya USA kama nchi ni kosa kubwa
 
Apunguze matumizi hao Ma RC na DC na magari yao yanaingiza
gharama kwa nchi bila tija ya maana.
 
Kila mtegemea vya weninge hufa masikini 🚮
 
Hawa wajinga hawawezi kukuelewa hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…