Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #101
Inaonekana vya kupewa ni vitamu sana 🤣Tuwe na vya kwetu, ni aibu kulia Lia kama kifaranga. Kulia Lia Kwa vitu tunavyoweza kupambaana navyo ni upumbavu wa milele huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana vya kupewa ni vitamu sana 🤣Tuwe na vya kwetu, ni aibu kulia Lia kama kifaranga. Kulia Lia Kwa vitu tunavyoweza kupambaana navyo ni upumbavu wa milele huo.
Watu lizitumia kama karangaNi prep mkuu si ARVs
Hujali wala nini 🤣Ife tu
Kila mmoja apambane na Hali yake
Itakuwa ni kiama kama alivyosema Prof Tibaijuka.Punguza ujuaji, walioajiriwa hawajui ila wewe usiye ajiriwa ndio unajuwa hizo bioweapon? Watu wanaumia kwasababu wanajua serikali yetu haina msaada na raia, unadhani ni watu wangapi wapo hatarini kufariki kwa malaria,Tb,Aids pamoja na depression ya kukosa kazi?
Bahati mbaya karibu kila familia bongo inamuathirika, ina ndugu wapo vijijini kwenye malaria huko. Kwahiyo utafurahi zaidi USAID kufungwa ambavyo ndugu zako wakifa kama kuku wenye kideli huku hao wenye serikali yao wakiendelea kutamba tu kwenye mavieite
Yale magari Yao ya USAID watugawie sasa cc masikiniNaskia mnampango wa kuhamia china na urusi
Hapa mtaani kwetu wanachoo chaoKuna vitabu vya sekondari vina nembo ya US AID
Pia dawa za ARV na TB
Kuna kiwanda kipo kibaha ni cha US AID
NI HATARI TUPU
Mimi akili yangu inaniambia kuwa mission ya kuanzishwa kwa USAID imekamilika na sasa wanaiondoa.Watanzania wanaweza kukesha wakiomba shirika linalojiita la msaada kutoka America lisife wakati huohuo kuna msshirika ya nchi yao yamekufa wala hata hawawazi.
Kiwanda kunaweza kufa ndani ya nchi hii likawa ni jambo la kawaida lakini msshirika haya ya nje yenye kutengeneza matatizo lukuki yakaonekana ni mazuri.
Kwa taarifa zilizopo hili shirika la USAID pesa zake nyingi hutumika kufanya tafiti za silaha za kibaolojia/ bioweapon hasa mataifa ya Asia na afrika.
Waafrika wachache walioajiriwa humo hawajui hili wao ni kufurahia mishahara wakati nyuma ya pazia wale wakuu wao wapo kazini kupambana kudhibiti vizazi na vizazi kwa gharama yoyote hata ikihitajika kuua mamilioni ya wanadamu nje ya nchi yao.
Waafrika tuamke hawa watu hawatupendi bali wanatamani hata leo tusiwepo ili wao waje kuanzisha makaazi huku kwetu.
Kwa msaada wa watu wa MarekaniHapa mtaani kwetu wanachoo chao
😁😁😁😁Hatimaye Kodi za apartment na ushindani wa mademu unaenda kuwa level Sasa.
Najua kuonyesha hawajaumia wengi wataanza kutumia akiba zao vibaya ili kumaintain status na ndio njia itakayowamaliza mapema zaidi.
Itakuwa ni kiama, ARV zilivyoghali.Mimi akili yangu inaniambia kuwa mission ya kuanzishwa kwa USAID imekamilika na sasa wanaiondoa.
Kama siyo mission Trump asingeamka from no where na kulifuta. Wameona sensa inaonesha kuwa jamii yetu imeshakuwa chronic tayari kwa matumizi ya ARV na vitu vingine hivyo ni muda muafaka wa wao kupunguza population (rasilimali watu) huku wakipiga pesa zaidi kwa mauzo ya dawa kwa watakaoweza.
Kweli Amerika wametukomoa, ndugu zangu tutaangamia sana kwa hofu.
Noma sanaUSAID is officially dead.
Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa
Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa
Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID
View attachment 3225645
Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...www.jamiiforums.com
Nilikua na ki proposal changu ktk mradi wa KIJANA NAHODHA hapo USAID ,nikafanyie Mkoani huko...
Jiwe alikuwa mpigaji tu kama wapigaji wengine, aliwatumia sana nyie mnaojiita wanyonge kupiga pesa huku nyie wanyonge mkishangilia
Every dollar we spend should,USAID is officially dead.
Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa
Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa
Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID
View attachment 3225645
Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...www.jamiiforums.com
Hii ya kufanya bila kufuata maelekezo ya USA kama nchi ni kosa kubwaEvery dollar we spend should,
one, make America great, second Secure, and third prosperous.
Nje ya hapo hakuna kutumia pesa za walipa Kodi, USAID ilikuwa inaendeshwa kama ilivyo TANAPA ,TAZAMA hapa bongo,
Wanajipangia matumizi, hakuna anayejua wanakusanya ngapi, anayetumwa kuwakagua, anachapwa mountain, anapiga kimya,
Kwa mujibu wa waziri wa Mambo ya nje (state secretary) wa USA, USAID walikuwa, hawafati maelekezo ya, Sera ya Mambo yq, nje ya America, wanakuwa wagumu kutoa majibu kwa wawakilishi wa, wananchi,Congress, wanapotakiwa, walijifanya kama "Global charity organisation" You can't be a charity using tax payers money"
Hapa bongo wanamiradi ya kutunza sokwe,"sasa kutunza sokwe kuna tija gani katika Mambo Yale matatu! Safe, prosperous, great!
Samia aache kununua ma v8 kila mwaka,DC wa Dar unampa Prado VX 4wheel! Ya nini,? Amepewa, kazi, aende kwa usafiri wake, kwani anatofauti gani na, Mwalimu? Wote ni watumishi wa umma!
Ma DC, RC, hivi vyeo vifutwe, wilaya zipunguzwe, maeneo yq utawala hayana tija, badala yake,ziongezwe while, hospitari,
Apunguze matumizi hao Ma RC na DC na magari yao yanaingizaEvery dollar we spend should,

SijakuelewaIlikuwa haijaanza!!!!
Mtandao unaonyesha upo nao tangu 2022
Kila mtegemea vya weninge hufa masikini 🚮Punguza ujuaji, walioajiriwa hawajui ila wewe usiye ajiriwa ndio unajuwa hizo bioweapon? Watu wanaumia kwasababu wanajua serikali yetu haina msaada na raia, unadhani ni watu wangapi wapo hatarini kufariki kwa malaria,Tb,Aids pamoja na depression ya kukosa kazi?
Bahati mbaya karibu kila familia bongo inamuathirika, ina ndugu wapo vijijini kwenye malaria huko. Kwahiyo utafurahi zaidi USAID kufungwa ambavyo ndugu zako wakifa kama kuku wenye kideli huku hao wenye serikali yao wakiendelea kutamba tu kwenye mavieite
Hawa wajinga hawawezi kukuelewa hata kidogoMimi akili yangu inaniambia kuwa mission ya kuanzishwa kwa USAID imekamilika na sasa wanaiondoa.