USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Uzuri wake siku hizi Bajeti ya Serikali kwa asilimia kubwa inatekelezwa na fedha za ndani sio kama zamani tulivyokuwa tunategemea wafadhili.

Hapo ndio kama nchi ndipo inatupasa tujitafakari sana kuwa karibu na hawa mabeberu vigeugeu
 
Trump hana mpango kunyonya nchi masikini na hio misaada ndio ilikua mitego yenu kunyonywa ,sasa ndio muda muafaka wa kuanza kujitegemea maana hakuna tena masharti
Sawa,muda ni mwalimu mzuri,mtajifia kwa maradhi kama kuku wa kideri mi nipo hapa mkuu, nyie tunawajua wazalendo uchwara
 
Safi sana,wakati tunampigia debe Kamala,mkasema mwanamke hafai kuongoza kabisa,sasa jiandaeni kuanguka kwa H..IV na kufa kama kuku wa kideri
mkuu unakaa kwako au kwenu?
 
goli la mama

🏃🏾‍♂️
 
Tumekuwa mipumbavu sana. Mfumo wa kisiasa wa kurithishana na kula kwa zamu usiozingatia uhitaji wa nchi na wananchi wake
Hakika Mkuu

Japo lawama zangu nazielekeza Kwa recruitment team ambayo ina dhamana ya kutuwekea mtu sahihi pale juu

Ama vinginevyo ipatikane Katiba ambayo itasaidia kuweka instrument za kutuongoza

Haiwezekani Viongozi wafanye mambo ya hovyo halafu wawekewe kinga ya kushtakiwa
 
Kukiua kirusi kinachosababisha ukimwi ni sawa na kuua Cell inayokupa uhai ni impossible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…