USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Uzuri wake siku hizi Bajeti ya Serikali kwa asilimia kubwa inatekelezwa na fedha za ndani sio kama zamani tulivyokuwa tunategemea wafadhili.

Hapo ndio kama nchi ndipo inatupasa tujitafakari sana kuwa karibu na hawa mabeberu vigeugeu
 
Trump hana mpango kunyonya nchi masikini na hio misaada ndio ilikua mitego yenu kunyonywa ,sasa ndio muda muafaka wa kuanza kujitegemea maana hakuna tena masharti
Sawa,muda ni mwalimu mzuri,mtajifia kwa maradhi kama kuku wa kideri mi nipo hapa mkuu, nyie tunawajua wazalendo uchwara
 
Safi sana,wakati tunampigia debe Kamala,mkasema mwanamke hafai kuongoza kabisa,sasa jiandaeni kuanguka kwa H..IV na kufa kama kuku wa kideri
mkuu unakaa kwako au kwenu?
 
D.Trump wants to help Amerika, cha ajabu tanzagiza ambapo >50% ya fedha ni msaada ndiyo inaongoza kwa kuchezea fedha, raisi ikulu 3, magari kila siku land cruiser mpya, USA inabana matumizi kusaidia wananchi, tanzagiza shopping kwa kwenda mbele …
goli la mama

🏃🏾‍♂️
 
Tumekuwa mipumbavu sana. Mfumo wa kisiasa wa kurithishana na kula kwa zamu usiozingatia uhitaji wa nchi na wananchi wake
Hakika Mkuu

Japo lawama zangu nazielekeza Kwa recruitment team ambayo ina dhamana ya kutuwekea mtu sahihi pale juu

Ama vinginevyo ipatikane Katiba ambayo itasaidia kuweka instrument za kutuongoza

Haiwezekani Viongozi wafanye mambo ya hovyo halafu wawekewe kinga ya kushtakiwa
 
Upo vizuri, sasa tuendelee..

- Unajua kwamba makampuni ya dawa hupata faida kwa watu kuendelea kuumwa na sio kupona? Na je, unadhani wanakupa ARVs ili upone kisha wakose mapato au wanakupa ili uendelee kusurvive (usife) ila uendelee kuumwa na kuwapa mapato? Kumbuka, misaada haitolewi na makampuni ya dawa , bali marekani huzinunua kisha kutoa misaada.

- Unajuankwammba ARVs hufanya kazi kwa kufubaza Virusi vya Ukimwi? Na je, kama dawa ya kufubaza inawezeka, kwa kiaka zaidi ya 40, dawa ya kuuwa kabisa hivyo virusi imeshindikanaje? Jibu ndio hilo kwenye point ya kwanza hapo juu..

Sasa je, Figo na Ini hazina haaki ya kusherehekea uamuzi huu?

Makampuni ya dawa nchini na nje ya nchi hayana haki ya kukasirika juu ya uamuzi huu kiasi sasa wanamuhonga Anna Tibaijuka ili awapigie kampeni? Hadi anadanganya kwamba ARVs zinaongeza kinga, wakati si kweli..
Kukiua kirusi kinachosababisha ukimwi ni sawa na kuua Cell inayokupa uhai ni impossible
 
Back
Top Bottom