Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Wengi humu watakudanganya mara confidence mara kufahamu mambo,mara language,mara kujibu maswali vizuri.
Nakuhakikishia Leo ili ufahamu interview za written na Oral Utumishi,ni game of chance namanisha ni bahati nasibu na hamna chochote,watainiwa ni wengi hamna mtu mwenye muda huo wa kuanza kuangali sijui huyu alijibu vizuri au laa na kama una ndugu Serikali mkubwa utapata kazi mapema sana.

Nipo huku ninafahamu ninachokisema,na kabla ya kufika huku kuna rafiki zangu wengi sana uwezo wao ulikuwa mdogo na walipata ajira na sehemu nyeti.Nimekuja kufahamu haya baada ya kuingia huku.

Anayepinga aje na fact.
 
Kwahiyo cc tuliokuwa huku ni vilaza ?
 

Well said mkuu,
Kwanza niseme tu mimi ni mmoja wa niliefanikiwa kupita katika interview na kupata ajira.

Ila frankly speaking sijawahi kukutana na interview mbovu kama ya sekretarieti ya ajira.
1. Hawana muda kukupapasa kujua ulichonacho kichwani kama wafanyavyo private sector.
2. Kama umekariri vema na maswali yakatoka yale uliyopitia basi umetoboa.
3. Hawataki ueleze what u know it’s all abt mention. Nakumbuka nilitaka kueleza kitu in details yule interviewer akaniambia just mention.
4. Nature ya maswali sio yale ya kuadd value to company. Mengi ni direct to your career. Usijisumbue kwenda YouTube kutafuta skills za kujibu interview za sekretarieti ya ajira utapoteza muda wako just komaa na madesa yako.

Sekretarieti ya ajira ni ngumu sana kuja kupata wale smart candidates kwa nature ya interview zao haswa kwenye upande wa mahojiano.

So, I second you mkuu kutoboa kwenye usaili wa sekretarieti ya ajira it’s a game of chance inategemea madesa yako uliyopitia
 
Uko sawa
1.Bahati au ngekewa
2.Koneksheni
Unaweza jibu written na oral ukapiga hata 95%.
Na usitoboe kama huna koneksheni
 
Bora iwe hivyo ili iwe rahisi sisi tusiojua ung'eng'e. Ila sometimes nao wanaangalia muda.. just imagine Kila candidate alete broken zake pale c watakesha jamani..!!!
Me sioni mbaya maana Asiyejua hata akiambiwa kumention factors Fulani hatoweza mkuu
 
Huu ndio ukweli. Japo NI mchungu
 
Umeeleza vzur kabisa mkuu na huu ndio ukweli
 
@wizy hizi infor zilitupita wapi?
 
Kwa hiyo kwa sasa unaogelea kwenye pipa la Asali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…