Niliona tangazo pia, kuwa anaanza ruti za Dar Dodoma, sijajua kama tayari au bado.
Anashangaa hayo sababu ni mapya, hayo 300 ni ya zamani.Abood ana mabasi zaidi ya 300 unashangaaje hayo20
Nyinyi subilini standard gauge.Huku Tabora kuna shida ya mabasi,Sasa Hivi lami mpaka Dar,mwambie aje
Nilidhan labda ni keUnajua kuwa umeandika Pumba sana?
hahahahaYani Una Danganya wazi wazi!!... Ukitoka Dar saa 11 alfajiri unafika Morogoro saa 3/4 sasa hebu tupe hii ya kila dakika 30 zinapishana vipi?!
Mkuu hizi njia mpya anazotaka kuanzisha atazimudu kweli huyu wakunyumbaUkikaa pale Njombe kila baada ya Nusu saa au lisaa lazima bus zake zipishane kakamata ruti zote kutoka Songea kwenda-Dar,Dom,Iringa,Tunduma,Mbeya,Njombe na sasa anakuja na Mwanza na Arusha Scania G7 Marcopolo dereva walioteuliwa wako likizo wakirudi chuma hakuna kulala.
Mengine yanapiga ruti za kwenye Misiba kwa wakazi waliofiwa wa Moro mjini.Na yote yanatembea rodi mkuu?
Nchi kama Tanzania inahitaji zaidi utajiri physical, wananchi watapata ajira. Sasa wewe na utajiri wako digital una impact gani kwenye uchumiHuo ni utajiri ambao ni manual mimi nimezungumzia digital......
matajiri wote wa sasa duniani wapo kwenye digital........
in combination with little manual
Huyu jamaa mwenye bus za superfeo na selous jumla ana gari ngapi?
Alikuwa anamaanisha kila baada ya nusu saa gari inatoka stendiWewe Muongo Ndugu
Kwani sgr haipiti moro mzee?Nyinyi subilini standard gauge.
Basi 300 hazifiki Tunduma 4 Mbeya 4 Iringa 6 Moro _Dar 60 Garege 30 maeneo mengine sifahamu ila kwa makisio basi 130 au 150 zinafikaWingi wa mabus unapimwa kwa wingi wa ruti sasa pima ruti za abood ndio mseme hizo bus 300 kama zipo
Omari/Super feo ana gari nyingi ila hamfikii AboodAcha uongo mzee huyo ndio anaongoza kwa bus nyingi na ruti nyingi
Nikitokavl Moro to Dar gari yangu ni BMNi kweli mkuu zamani ilikuwa hivo kabla ya 2012.
Alishindwa kusoma alama za nyakati akawa bado anatumia zile scania siti 2*3,BM akaingia hiyo route na Youtong za 2*2 wajanja wakaanza kuchepuka.
Lakini bado Abood akaendelea kusumbua,BM akaingiza Zhongtong climber 2*2 full AC na fitna ya kuondoa gari kila nusu saa iwe imejaa au haijajaa. Hapo sasa Abood akawa kapatikana ikabidi na yeye aingize Youtong lakini alikuwa kachelewa maana BM tayari ameshajijengea ile legacy ya kuwa na abiria wake permanent.
Kimsingi bado Abood anatoa gari nyingi kwa Siku hiyo route ya Dar -Moro lakini lakini amepokonywa ile monopoly yake na BM
Yani Una Danganya wazi wazi!!... Ukitoka Dar saa 11 alfajiri unafika Morogoro saa 3/4 sasa hebu tupe hii ya kila dakika 30 zinapishana vipi?!
Mkuu hizi njia mpya anazotaka kuanzisha atazimudu kweli huyu wakunyumba
Mengine yanapiga ruti za kwenye Misiba kwa wakazi waliofiwa wa Moro mjini.
Halafu Treni za mwendokasi zikianza Dar - Moro mbona usafiri wa mabasi nao utakuwa hauna inshu. Labda dili litabaki kwa ruti za mikoani.
Basi 300 hazifiki Tunduma 4 Mbeya 4 Iringa 6 Moro _Dar 60 Garege 30 maeneo mengine sifahamu ila kwa makisio basi 130 au 150 zinafika