Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

We jamaa acha mzaha wewe...Ukikaa Songea au Njombe ndo utaelewa huyo ana Ruti kuanzia

Songea -Njombe/Makambako/Iringa/Mbeya/Tunduma/Dar
Songe-Lindi-Dar
Songea-Mtwara
Namtunbo-iringa
Namtumbo-Makambako
Mbinga-Iringa-Dar
Mbinga-Lindi-Dar
Mbinga-Iringa
Mbinga-Tunduma
Songea-Dodoma
Tunduru-Mbeya
Masasi-Iringa
Nk
Songea-Sumbawanga(japo sijajua kama alifanikiwa)
Now anakuja Songea Mwanza na Songea Arusha.

Na ruti zote hizo anatoa gari zaidi ya moja

Nimekaa Njombe pale kila saa au nusu saa lazima uone gari yake iwe inaenda au kurudi...kwa ufupi kwa sasa Abood anasubiri kwa huyo mwamba

Omari/Super feo ana gari nyingi ila hamfikii Abood
 
Mzee ataweka ya songea - arusha hii bonge la ruti
 
Mzee hiyo kampuni kubwa halafu kuna wabia wengi wanene hapo..fitna na kila kitu wanajua ataweza na ukiangalia now songea inakua uhitaji upo...Ruti zote alizozianzisha zimezaa matunda
Yap ni kampuni kubwa sana nafikiri kwenye top five ya kampuni za mabasi yupo na pia ana malori ya mizigo.
Lakin watu huwa wanashika ruti kuwachomoa ufanye kazi kweli
 
Yeah kwa sasa huyo jamaa noma nadhani ndo namba moja kwa mabus..na malori pia anayo yakutosha...kumchomoa kwenye hizo ruti jambo gumu mfano Tavavuil alileta Climber zile ila usumbufu ikiharibika njiani majanga..fikiri now ameleta Climbers mpya za maana na hizo G7 sio mchezo.
Yap ni kampuni kubwa sana nafikiri kwenye top five ya kampuni za mabasi yupo na pia ana malori ya mizigo.
Lakin watu huwa wanashika ruti kuwachomoa ufanye kazi kweli
 
Abood gari za mikoani ni ngalangala. Gari nzuri zipo route ya Dar Moro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…