Usalama wa Taifa kuna Waziri mmoja Mwandamizi Serikali ya Rais Samia tafadhali anzeni Kumchunguza hasa

Usalama wa Taifa kuna Waziri mmoja Mwandamizi Serikali ya Rais Samia tafadhali anzeni Kumchunguza hasa

GENTAMYCINE nadhani kwa hili uelewa wako ni mdogo kama wa kunguru. Sidhani kama ni kosa kuwa na raia wa nje mwenye mchango ktk taifa. Huu ujinga ufike sehemu ukome. Kila anayeishi mpakani anabambikwa urais wa kigeni why???
 
Kama kawaida yenu Waswahili mkiona mtu ni performer mna anza majungu yenu! Tanzania kila mtu ni mkimbizi isipokuwa wagogo waliopo katikati ya nchi!!
Kutoka mpakani mwa nchi hakukuondolei Utanzania / uraia wako!
Waswahili acheni majungu ; hizo tabia zenu za kishenzi ndio maana hamna maendeleo, mmejaa wivu!
Achana na Kamara, je kwetu kuna CAMARA?
 
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
TUmeliwa Mno Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Sana Ndugu Zangu

Hii Nchi Inaliwa
Vyovyote Nitakavyosema Najua Mmenielewa Sana Sana Ndugu Zangu

By Mzilankende



Wakimbizi Halafu Wanatokaje Arusha Namanga Mpaka Wakamatwe Mbeya
Leo Naagiza Mkoa Ataokamatwa Mkimbizi Haram
OCD, RPC, RIO, DIO Wajihesabu Hawana Kazi Siku Hiyo Hiyo
By Jiwe
Pamoja na mapungufu yake kama binadamu yeyote, lakini huyu Mwamba angetufikisha pazuri.
 
Sio yule bwana ambaye anategemewa kuchukua kiti cha Katelephone
 
Back
Top Bottom