USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

kuna shida sehem, i think wewe shule ulialikwa haukusoma!
 




una pumba ingine?
 
Ni kwanini Marekani huwa anamgombeza sana China aipandishe thamani sarafu yake?
kuna faida gani kwa sarafu ya China kuwa chini?
Sarafu ikiwa chini, ina-boost exports.

Inavutia wawekezaji wanazalisha na kuuza nje ya nchi kwa faida nzuri.
 
Dah ngoja sasa, kesho nizame Bureau, nina ka kibubu kangu ka $ 1,200. 😁
Hapa kwa pesa ya madafu sikosi 3m nikapumzishe fuvu sehemu. 😁
 
Mwambie exchange rate inaathiri hadi GDP per Capita na PPP.
GDP na GDP lwr Calita haina maana kubwa sana. Msiziweke akilini
Jamaa anachoharibu anasema ni manually figure basi mwambie aishushe mpaka 1500.
Yes, kuna fixed amounts na kuna zinazoachwa zi-swing kulingana na soko.
Mwambie pesa kwa Sasa ni currency na inahitaji mzunguko na sio kwa Taifa hili linaloagiza kila kitu mpaka toothpicks
Kwanini uagize kila kitu??
 
Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipoyaona, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM.
Dola inapanda kihorera tu.
 
Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
Huhitaji dola? Nimeona unavyojimwambafai mpaka nikacheka. Tuna import mafuta, magari, vipuri, madawa, domestic appliance including simu zote tunazotumia, mitambo...just to open up your thick head.
 
GDP na GDP lwr Calita haina maana kubwa sana. Msiziweke akilini

Yes, kuna fixed amounts na kuna zinazoachwa zi-swing kulingana na soko.

Kwanini uagize kila kitu??
Kipi ambacho hakiagizwi?
Kushuka kwa shilingi kunaenda kuathiri moja kwa moja maisha ya raia mmoja.

Nitajie fixed amount ni ipi? Kiasi gani kinaweza kuswing?

Sababu moja wapo ya bongo kushuka kuwa Taifa la kwanza kiuchumi Africa mashariki ni kudevalue pesa yake Ili kutimiza matakwa ya WB na IMF.

Halafu unasema nisijali, Nyanonko
 

punguza ujuaji
 
Kipi ambacho hakiagizwi?
Tunaagiza kioumbavu.

sasa hivi nchi imejaa machinga wa China.

wakati wana uwezo mzuri wa kufunvua viwanda vidogo vidogo, ila tumewaacha wanaagiza kwahiyo wanakwepa PAYE, Ajira, Umeme, NSSF etc.


Kushuka kwa shilingi kunaenda kuathiri moja kwa moja maisha ya raia mmoja.
Ni kidogo sana. Maana vitu vya muhimu kama mafuta serikali hutumia reservws yake ya Dollar iliyopo.
Nitajie fixed amount ni ipi? Kiasi gani kinaweza kuswing?
Kuna nchinzimest kwa kiwango fulani tu, haishuki wala kulanda
Sababu moja wapo ya bongo kushuka kuwa Taifa la kwanza kiuchumi Africa mashariki ni kudevalue pesa yake Ili kutimiza matakwa ya WB na IMF.

Halafu unasema nisijali, Nyanonko
Kushuka kichumi kivipi?

Afrika Mashariki, ni taifa gani lina uchumi mzuri kuliko TZ??
 
😅😅SABABU NI Deni linalofanya tuwe subservient kwa Nchi zaoo... Our Future hapa Tanzania its Very Funny, Nani ataitoa Tanzania kwenye kifungo cha Madeni
 
😅😅SABABU NI Deni linalofanya tuwe subservient kwa Nchi zaoo... Our Future hapa Tanzania its Very Funny, Nani ataitoa Tanzania kwenye kifungo cha Madeni
Kudaiwa siyo tatizo.

Shida ni Kupiga au kuwekeza ovyo pesa za mikopo.
 
Huo upumbavu kwenye kuagiza ndio hali tuliyo nayo kwa sasa, Sasa nikuulize kupandia kwa dollar hakuna athari kwetu?
Hii nchi hatuna hata sector moja tutakayobsema Ina full and complete supply chain.

Machinga ni matokeo ya sera za kufanya watu wote wawe wachuuzi a.k.a ujasiliamali.

Nje ya mafuta, hakuna vitu vingine muhimu tunavyohitaji?

Tunaizungumzia Tanzania, tuna hiyo fixed amount tuliyoiset, kama hakuna naomba hujibu hoja kwa hali halisi ya Sasa

Nadhani bila kuuma maneno ni Kenya na walitupita mwaka 1995 yaani wametuzidi kote kwenye PPP na per Capita hasa moja ya sababu ni kushusha thamani ya pesa yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…