Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.
Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".
Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?
Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.
Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.