Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Achangishe Mikia wenzieZungu anayo Mamlaka ya kutoa ndege au kuibeba timu kila aendako kama mkoba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achangishe Mikia wenzieZungu anayo Mamlaka ya kutoa ndege au kuibeba timu kila aendako kama mkoba?
Nakumbuka kuna siku uliahidi msimu huu utafia shambani sasa tàngu lini mwenye akili akajiahidi kufia shambani?Chukua uwezo wa mawaziri wanne ndio sawa na uwezo wangu. Mimi nalinganishwa na kundi sio mtu mmoja
nyie na hizo robo fainali zenu mtalia sana kwa wivu juu ya yanga...pambaneniMwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.
Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".
Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?
Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.
Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Ndio maana tumemleta DPW ili kuondoa kujuana juana pale.Bi mkubwa ametukosea sana! Kkwanza GSM ana skandali za kutolipa kodi bandalini
Athali za kuingiliana bila kuoga, ndio mitoto kama wewe.
Wiki moja ni muda mrefu, tumeona tukupe hii dawa ya kuongezea uchungu ili ujifungue leo leo usiendelee kuteseka.
Lakini dada Justina uache tena kufakamia machipsi kuku ya watu, madhara yake ndio hayo.
No free lunch in Dar es Salaam.
Unanisikia mwanangu lakini?
MAKOLOOOO YAMEPANIC.Tuliza wewe nyumba ndogo ya kibabu
Yaani hiyo hali ingekuwa simba pasingetosha mtaani maana walishawahi kutishia kwenda ikuluMwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.
Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".
Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?
Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.
Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Yanga ni timu ya wananchi hivyo tulieni wenzenu watanue tu na hamna cha kuwafanya.Yaani hiyo hali ingekuwa simba pasingetosha mtaani maana walishawahi kutishia kwenda ikulu
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.
Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".
Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?
Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.
Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Hongera sana mwana michezoHiyo ni kuitia morali tu timu, tukiacha ushabiki mtu akifanya vizuri aonwe na atambuliwe.
Sioni kibaya alichofanya Mh Rais.
Yanga wakifanikiwa ni vijana wetu wa Tanzania wamefanikiwa, kodi zitarudi nyumbani.
Mpira siyo mchezo wa chumbani ama kuchezwa gizani kila mmoja anaethamini kazi yake atafanya kwa weledi na kuzingatia taaluma yake. Ondoa hofu
Kudeclare interest Mimi ni SIMBA
Hakuna ubaya na tena ni SAWA na ni HAKI kabisa, kwa Rais wa nchi kushabikia kitu kizuri kama timu ya wananchi. Mama Oyeeeeee!Bado miaka miwili akashabikie Yanga yake na wajukuu. Wanasimba hatumchagui 2025
Yanga ni timu ya serikali na Simba ni timu ya serikali, wewe unateseka vipi Serikali kugharamia timu inazomiliki?Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.
Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".
Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?
Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.
Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Hamia Kenya tu mkuuMwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.
Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".
Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?
Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.
Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Aahaaaaa,hapa umeongea ukweli,zote ni za Serikali ila inategemea tu ni Rais yupi anaongoza Kwa wakati huo na ni shabiki wa timu ipi kati ya hizo mbiliYanga ni timu ya serikali na Simba ni timu ya serikali, wewe unateseka vipi Serikali kugharamia timu inazomiliki?
AahaaaaFanyeni vizuri muitangaze nchi chini ya Uongozi wake muone kama hamtapendwa, sio kujisifia ukubwa tu.
Fanyeni kitu kionekame sio kusajili sawakubwa halafu unaenda kuchoma viwanja vya watu na kurudisha basi kinyumenyume na kujaza manyau mweusi uwanjani.
Hakuna hoja makini hapo, hoja hiyo itajadiliwa na wajinga wasiojuwa lolote.JF kwa sasa ni kama facebook tu ,yaani mtu anaweka hoja makini kabisa ijadiliwe kwa ueledi mambo yanajadiliwa kinyume chake wanaongea as if ni ishu ya kawaida wakati wamewahi kutishia hata kuhama ligi waende ligi ya Zanzibar kwa kuhisi wanaonewa kwenye hamna
Majengo ya Simba na Yanga pesa alitowa Karume, Sunderland ndio ilikuwa timu ya Waarabu serikali ikawapora Waarabu wakabadiri jina timu ikapewa jina la Kawawa yani Simba wa vita.Aahaaaaa,hapa umeongea ukweli,zote ni za Serikali ila inategemea tu ni Rais yupi anaongoza Kwa wakati huo na ni shabiki wa timu ipi kati ya hizo mbili
Asante Kwa shule hiiMajengo ya Simba na Yanga pesa alitowa Karume, Sunderland ndio ilikuwa timu ya Waarabu serikali ikawapora Waarabu wakabadiri jina timu ikapewa jina la Kawawa yani Simba wa vita.
Yanga inajurikana wazi 100% ni timu ya serikali, wengi hawajui ukweli kuhusu Simba.
Ukitaka kuujuwa ukweli ukweli muulize Mo mbona ni tajiri na ana makampuni zaidi ya 100 inakuwaje swala la Simba linakuwa gumu?
Jibu ni mpaka wenye timu waamuwe vinginevyo lakini kwa sasa hizo timu mmiliki wake anazihitaji sana na hawezi kuziachia.