Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

Kwahiyo hamtaki awe shabiki..?? Kwani si jadi yetu kuwa uzalendo ni kwa timu ya taiga..??
 
JF kwa sasa ni kama facebook tu ,yaani mtu anaweka hoja makini kabisa ijadiliwe kwa ueledi mambo yanajadiliwa kinyume chake wanaongea as if ni ishu ya kawaida wakati wamewahi kutishia hata kuhama ligi waende ligi ya Zanzibar kwa kuhisi wanaonewa kwenye hamna
 
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.

Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".

Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?

Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.

Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Kikwete lini alijificha kuwa yeye shabiki wa Yanga? majaliwa nae lini alijificha?

Mie nahisi Mama Samia ni Simba. Waarabu wa Malindi Unguja wote simba.
 
Ile kauli kila mtu anauhuru wa kuchagua apendacho huko kwenu haipo? Unataka Samia nayeye ni Mtanzania anauhuru wake.....ukizaliwa Tz utakuwa either Yanga or Simba
 
Bora Facebook 😀
 
Ten hiyo siku hizi siyo Tanzania tu, mpaka Kenye, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Malawi ndiyo usiseme, wapo washabiki wa Yanga na Sima, Hawaijuwi Taanzania wala hawajawahi kufika. Wameambukizwa na Watanzania.
 
Wabunge wetu mpaka bingeni timu zao ni Yanga na Simba.
 
Dah!

Hapo unaondoka ukiona!
FB_IMG_16885494907512541.jpg
FB_IMG_16885495032409439.jpg
FB_IMG_16885494958996210.jpg
 
Kikwete lini alijificha kuwa yeye shabiki wa Yanga? majaliwa nae lini alijificha?

Mie nahisi Mama Samia ni Simba. Waarabu wa Malindi Unguja wote simba.
Nawewe nwarabu wamagomeni nitim gani
 
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.

Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".

Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?

Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.

Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Kama Singida big stars tu wanafaidika na serikali,itakuwa yanga?

Cha muhimu ni kupambana uwanjani tu hayo mambo ya waamuzi hayana msaada kama timu ni bora
 
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa dhana ya Usimba au Uyanga.

Lakini kwa Rais Samia imekua tofauti. Anatamani Yanga iwekwe kwenye bajeti ya Wizara. Hata hivyo Kuna mashaka kuwa kunaweza kuwa na mkono wa Serikali kuisaidia Yanga. Simba imajitahidi Mpaka kukata wadhamini kimataifa ili kutangaza Nchi na kuvaa "Visit Tanzania". Lakini aliakua kuchukua timu yake na kuipeleka Malawai kutangaza "Hier" Badala ya " Visit Tanzania".

Kwa hali ya Sasa kuwa Kila Mtu anasifia Samia Samia. Tutegemee Nini kwa Marefa wa Ligi kuu juu ya upendeleo kwa Yanga?

Tukumbuke Marefa nao ni binadam wanaona Nini kinachendelea. Rais ameamua kutoa maagizo indirectly kuwa yeye anafurahishwa na Yanga. Sasa Marefa wameelewa.

Mwisho nasemaje! Rais ameuathili mchezo wa mpira. Natamani Simba wahamie Ligi ya Kenya wakaandike Visit Kenya. Ili wabakie na "Hier" yao.
Kwa hiyo Rais Samia ndio aliwaalika Yanga kwenye sherehe za uhuru wa Malawi?

Hata hivyo hata Kikwete hakuwahi kuficha ushabiki wake kwa Yanga na viongozi wake wengine na si dhambi duniani kote.
 
Kwahiyo hamtaki awe shabiki..?? Kwani si jadi yetu kuwa uzalendo ni kwa timu ya taiga..??
Tatizo ni pale inapofikia kutumia Rasilimali za Taifa kwa USHABIKI WA timu flani. Kama Rais alitakiwa ku-balance. Akishabikia Yanga kama Samia Haina shida. Lakini anapotoa ndege huyo ni mamlaka, na anapaswa kutumia mamlaka kwa haki. Simba walikua na mchezo muhim na Wydad, Simba walistahili motisha pia. Naamini hata mualiko wa Malawi ulikuja kwa Rais naye kachagua timu Yake.
Leo hata Mtoto mdogo anajua ili kumfurahisha Rais Samia inabidi upende Yanga. Hata wanasiasa wengi wanajinasibu na Yanga , wanatumia Uyanga kwa Uchawa
 
Fika final ndege utapewa na medali utaleta
Unataka upewe ndege hatua ya robo
 
Back
Top Bottom