Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tulieni jamani maana hata miaka 5 hajamaliza wakati inatakiwa kuwa 10Tatizo ni pale inapofikia kutumia Rasilimali za Taifa kwa USHABIKI WA timu flani. Kama Rais alitakiwa ku-balance. Akishabikia Yanga kama Samia Haina shida. Lakini anapotoa ndege huyo ni mamlaka, na anapaswa kutumia mamlaka kwa haki. Simba walikua na mchezo muhim na Wydad, Simba walistahili motisha pia. Naamini hata mualiko wa Malawi ulikuja kwa Rais naye kachagua timu Yake.
Leo hata Mtoto mdogo anajua ili kumfurahisha Rais Samia inabidi upende Yanga. Hata wanasiasa wengi wanajinasibu na Yanga , wanatumia Uyanga kwa Uchawa