Tulieni jamani maana hata miaka 5 hajamaliza wakati inatakiwa kuwa 10Tatizo ni pale inapofikia kutumia Rasilimali za Taifa kwa USHABIKI WA timu flani. Kama Rais alitakiwa ku-balance. Akishabikia Yanga kama Samia Haina shida. Lakini anapotoa ndege huyo ni mamlaka, na anapaswa kutumia mamlaka kwa haki. Simba walikua na mchezo muhim na Wydad, Simba walistahili motisha pia. Naamini hata mualiko wa Malawi ulikuja kwa Rais naye kachagua timu Yake.
Leo hata Mtoto mdogo anajua ili kumfurahisha Rais Samia inabidi upende Yanga. Hata wanasiasa wengi wanajinasibu na Yanga , wanatumia Uyanga kwa Uchawa
...PERIOD....Fika final ndege utapewa na medali utaleta
Unataka upewe ndege hatua ya robo
Angalia club ranking za CAF zimetoka wewe achana na hizi habari za zamaniRais ameipendelea yanga hadi kucheza final caf
Rais ameipendelea yanga hadi kuwa bingwa NBC
Rais ameipendelea yanga kuwa bingwa AsFc
Rais ameipendelea yanga kuwasajili mayele, diara, azizi ki n.k
Rais akaihujumu simba kuishia Robo
Rais akaihujumu simba kukosa ubingwa na kupgwa na azam kama shoga wa magomeni
Raisi ndo aliwasajili sawadogo, okwa,kapama
Rais ndo alikula b 20 za mo
***** jipange tengeneza timu mtalaumu watu bure
Wewe uwezo wako mkubwa ni upi?Kuna mambo yanadhihirisha uwezo wa Rais ni mdogo. Hili ni moja wapo
Haya kachukue kombe au mdali za caf rakingsAngalia club ranking za CAF zimetoka wewe achana na hizi habari za zamani
Chukua uwezo wa mawaziri wanne ndio sawa na uwezo wangu. Mimi nalinganishwa na kundi sio mtu mmojaWewe uwezo wako mkubwa ni upi?
Sawa sema nlikuwa naku-update tu naona una habari za zamani za sasa katika soka hujazipata.Simba ina rank namba saba(7) hii ndio habari mpya kwenye sokaHaya kachukue kombe au mdali za caf rakings
Kabisa kabisaKama hataki ahamie Burundi kwa 10yrs
Baeleze baba, baeleze babaa.Fika final ndege utapewa na medali utaleta
Unataka upewe ndege hatua ya robo
Yeah hao wote Simba na wanashinda kwenye events za Simba,alitaka na Yanga walalamike? Ni zaidi ya Umbumbumbu aliousema RageZungu ni Simba.
Nikweli Kuna Mmalawi mmoja nilimuagizia jezi ya Yanga,anaipenda tu na Tz hajawahi kufikaTen hiyo siku hizi siyo Tanzania tu, mpaka Kenye, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Malawi ndiyo usiseme, wapo washabiki wa Yanga na Sima, Hawaijuwi Taanzania wala hawajawahi kufika. Wameambukizwa na Watanzania.
Zungu anayo Mamlaka ya kutoa ndege au kuibeba timu kila aendako kama mkoba?Yeah hao wote Simba na wanashinda kwenye events za Simba,alitaka na Yanga walalamike? Ni zaidi ya Umbumbumbu aliousema Rage
Mwacheni mama atumie nafasi yake kwa akipendacho na bado maana hadi amalize miaka 10 watu wasiye mpenda wataumia sanaZungu anayo Mamlaka ya kutoa ndege au kuibeba timu kila aendako kama mkoba?
Bado miaka miwili akashabikie Yanga yake na wajukuu. Wanasimba hatumchagui 2025Mwacheni mama atumie nafasi yake kwa akipendacho na bado maana hadi amalize miaka 10 watu wasiye mpenda wataumia sana
Hata hujui ni miaka 10 madarakani ili mandunduka muendeee kusaga isigino kwa sangomaBado miaka miwili akashabikie Yanga yake na wajukuu. Wanasimba hatumchagui 2025
Hiyo kumi ni yako na CCM yako. Ila wanasimba tunamuondoa 2025Hata hujui ni miaka 10 madarakani ili mandunduka muendeee kusaga isigino kwa sangoma
Hapo unapohisi umeshinda, nakujisahau, mambo yanakuwa mabaya zaidi upande wako.Dahhh aisee mi noma hii
Huo sasa ni ubishi wa kwenye kahawaHiyo kumi ni yako na CCM yako. Ila wanasimba tunamuondoa 2025