Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

nyie na hizo robo fainali zenu mtalia sana kwa wivu juu ya yanga...pambaneni
 
Bi mkubwa ametukosea sana! Kkwanza GSM ana skandali za kutolipa kodi bandalini
 
Athali za kuingiliana bila kuoga, ndio mitoto kama wewe.

Wiki moja ni muda mrefu, tumeona tukupe hii dawa ya kuongezea uchungu ili ujifungue leo leo usiendelee kuteseka.
Lakini dada Justina uache tena kufakamia machipsi kuku ya watu, madhara yake ndio hayo.

No free lunch in Dar es Salaam.

Unanisikia mwanangu lakini?
 
Tuliza wewe nyumba ndogo ya kibabu
 
Yaani hiyo hali ingekuwa simba pasingetosha mtaani maana walishawahi kutishia kwenda ikulu
 
Yaani hiyo hali ingekuwa simba pasingetosha mtaani maana walishawahi kutishia kwenda ikulu
Yanga ni timu ya wananchi hivyo tulieni wenzenu watanue tu na hamna cha kuwafanya.
 

Hiyo ni kuitia morali tu timu, tukiacha ushabiki mtu akifanya vizuri aonwe na atambuliwe.
Sioni kibaya alichofanya Mh Rais.
Yanga wakifanikiwa ni vijana wetu wa Tanzania wamefanikiwa, kodi zitarudi nyumbani.
Mpira siyo mchezo wa chumbani ama kuchezwa gizani kila mmoja anaethamini kazi yake atafanya kwa weledi na kuzingatia taaluma yake. Ondoa hofu
Kudeclare interest Mimi ni SIMBA
 
Hongera sana mwana michezo
 
Yanga ni timu ya serikali na Simba ni timu ya serikali, wewe unateseka vipi Serikali kugharamia timu inazomiliki?
 
Hamia Kenya tu mkuu
 
Yanga ni timu ya serikali na Simba ni timu ya serikali, wewe unateseka vipi Serikali kugharamia timu inazomiliki?
Aahaaaaa,hapa umeongea ukweli,zote ni za Serikali ila inategemea tu ni Rais yupi anaongoza Kwa wakati huo na ni shabiki wa timu ipi kati ya hizo mbili
 
Aahaaaa
 
Hakuna hoja makini hapo, hoja hiyo itajadiliwa na wajinga wasiojuwa lolote.

Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali, sasa unataka tujadili nini hapo?

Mo Dewji na GSM wanasherehesha tu ili wasibanwe biashara zao na ndio maana hakuna mchakato wowote wala billion 20 za kumiliki Simba wala Yanga, mnafanyiwa kiini macho tu wajinga kama wewe.
 
Aahaaaaa,hapa umeongea ukweli,zote ni za Serikali ila inategemea tu ni Rais yupi anaongoza Kwa wakati huo na ni shabiki wa timu ipi kati ya hizo mbili
Majengo ya Simba na Yanga pesa alitowa Karume, Sunderland ndio ilikuwa timu ya Waarabu serikali ikawapora Waarabu wakabadiri jina timu ikapewa jina la Kawawa yani Simba wa vita.

Yanga inajurikana wazi 100% ni timu ya serikali, wengi hawajui ukweli kuhusu Simba.

Ukitaka kuujuwa ukweli ukweli muulize Mo mbona ni tajiri na ana makampuni zaidi ya 100 inakuwaje swala la Simba linakuwa gumu?

Jibu ni mpaka wenye timu waamuwe vinginevyo lakini kwa sasa hizo timu mmiliki wake anazihitaji sana na hawezi kuziachia.
 
Asante Kwa shule hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…