Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

Mungu anawaona wabadhirifu wa mali za Nchi hii iliyobarikiwa na Mungu wa mbinguni πŸ™

Hakika kila atakayezikwapua mali hizo hatokaa aishi kwa Amani na kizazi chake choteee. πŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ™
 
Mungu anawaona wabadhirifu wa mali za Nchi hii iliyobarikiwa na Mungu wa mbinguni πŸ™

Hakika kila atakayezikwapua mali hizo hatokaa aishi kwa Amani na kizazi chake choteee. πŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ™
Tutafute kazi zenye kutuingizia pato halali huku kulialia hakutusaidii sana.

Vijana waachwe wafurahie mpira maisha haya ni mafupi sana na hatujui siku yetu ya mwisho ni lini.

Hakuna anayetuzuia kufanya ubunifu wenye kubadilisha hali zetu za maisha.
 
Pia tusichoke kuwakumbusha wezi wa mali za Umma na wabadhirifu wa mali za Nchi kwamba maisha ni mafupi na kwamba siku moja watashikwa na mkono wa Mungu ambao ni mrefu kuliko mkono wa Serikali !
Iko vile bandugu !
Sote tuchape kazi na turidhike na kile kipato cha halali !
Tuache Ujanja ujanja maana vyote utakavyo vichuma kwa haramu mbali na kile ambacho ni halali yako vitawatesa tu !
No peace of mind maisha. ! πŸ™ŒπŸ™πŸ™
 
Mimi hata ukiniambia nikutajie hata mchezaji mmoja wa simba au yanga simjui nakumbuka nilisoma somo la michezo chuoni kwenye mitihani kulikuwa na swali taja mchezaji wazamani wa Tanzania darasa zima mimi pekee nilikosa swali hilo sijawahi sikiliza mpira wala kutizama mpira
 
Reactions: RMC

Wewe kiazi kweli somo la michezo unashindwa kutaja mchezaji. Ni sawa uko kwenye Somo la wanyama ushindwe taja mnyama hata mmoja. Halafu unaona sifa kushindwa kutaja
 
Tatizo sio Simba na yanga.

Tatizo kuu ni CCM, JWTZ, TISS na police department.
 
Tanzania wanajitambua ni hawa member wa jamiifum na tweeter basi wengine wote hawajui dunia inaenda je taifa linaenda wapi wengi muziki movies na tamthilia na yanga na simba tu wajanja wachache sana
 
M
Wewe kiazi kweli somo la michezo unashindwa kutaja mchezaji. Ni sawa uko kwenye Somo la wanyama ushindwe taja mnyama hata mmoja. Halafu unaona sifa kushindwa kutaja
Mimi huwezi kunikuta kwenye mambo yakijinga ya mpira wakati kuna ya muhimu ya maisha na imani kwa muumba wangu bora nisome biblia au kuruani au maswala ya uchumi siyo ya wachezaji mbona sheria 17 za mpira wa football zilikuwa kichwani au mada zingine za michezo mbalimbali zilikuwa kichwani ilikuwa ni ili nijibu mtihani tu ukiazi wangu upo wapi
 
Kwanza hata huwa siwaelewi wanazungumzia nini.

"Oyaa mwanangu jana simba wamekiwasha"........ "oyaa mwaka huu Yanga noma"

Ndo nini yaani, mimi mbona hata sielewagi wanachoongea?? Hata huo mpira wenyewe nikijaribu kuangalia naona makorokocho matupu.

Nimejitahidi kuwaelewa wanazungumziaga nini lakini nashindwa! I have used all my intellectual power trying to understand their rubbish but i DON'T seem to get it.

Wako kama MAZOMBI fulani yenye mabetri kichwani...

Cc: DR Mambo Jambo Nyani Ngabu min -me NAMBA MOJA AJAYE NCHINI mshamba_mwingine Poor Brain FaizaFoxy Kiranga Lamomy Extrovert dronedrake Mzee wa kupambania Mufti kuku The Infinity
 
Alooh weeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alooh weeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani SIELEWAGI KABISA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani waga mnaongelea nini nyie???

"Yanga noma, simba noma, mayelee oooh yeeaah, mtakoma, tutawanyooshaa"

NDO NINI YAAANI?? SIELEWI... πŸŒπŸŒ›πŸ¦Ά
 
Tuwaache vijana wafurahie maisha haya. Tafuta pesa mkuu hii hulka ya kunyooshea mtu vidole ukidhani ndio sababu ya wewe kutokuwa na chochote sana sana itakupeleka kwa wachawi na waganga wa kienyeji.

Usitunze chuki dhidi ya mtu ambaye huna ushahidi kuhusu wizi unaodai kaufanya. Tunza kichwani mwako zile mbinu halali za kukupatia pesa.
 
Yaani SIELEWAGI KABISA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani waga mnaongelea nini nyie???

"Yanga noma, simba noma, mayelee oooh yeeaah, mtakoma, tutawanyooshaa"

NDO NINI YAAANI?? SIELEWI... πŸŒπŸŒ›πŸ¦Ά
Sasa wewe na mpira wapi na wapi mkuu...

Wewe habari zako kufukunyuana tuu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaaan ni laana tupu
 
Sasa wewe na mpira wapi na wapi mkuu...

Wewe habari zako kufukunyuana tuu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaaan ni laana tupu
Bora kufukunyuana nakula uroda mpaka nakojoa kama kuku wa kisasa. UNDERSTANDABLE.

Sasa haya mamipira ya ajabu ajabu, "oooh mayelee, mtakoma, mwaka huu, ooohhh kudadeki zenu, nini nyieee... eeeh .... oooh... "

NI NINI?? MBONA KAMA UFALA... 🌝
 
Astakafillah.... Leo jumapili fanya uende church hata ukajua tuu kanisa lina rangi gani kwa ndani mkuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Astakafillah.... Leo jumapili fanya uende church hata ukajua tuu kanisa lina rangi gani kwa ndani mkuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ niko kanisani hapa naongoza kwaya ya MTAKATIFU VERONIKA
 
Wacha watu wa enjoy maisha hasira za nini? wewe unayetaka fujo mbona option nyingi, iko Kenya, Burundi hata Congo kaandamane tu fanya fujo wa Tanzania watu wanapenda starehe na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…