Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

Sijawahi kusikia "Mtanzania Visiwani". Ni "Mzanzibari". Kwahiyo sielewi pointi yako ya wakazi wa Mafia na Ukerewe.
Ndo unatakiwa Ujiulize Kwanini Tuite bara wakati Ukerewe Na mafia Sio Bara ni Visiwani??

Tuwekee hicho kipengele kutoka Katiba ya Zanzibar kinachozungumzia Mzawa wa Zanzibar ni nani vis-a-vis Kitambulisho cha Mkazi wa Zanzibar.
Mkuu Uko Familiar na Katiba ya Zanzibar?
Na sheria inaitwa zanzibari Acts (Sheria no 5 ya mwaka 1985) ?

Kwa mujibu wa Katiba ya SMZ (Serkali ya Mapinduzi ya Zanzibar) Ibara ya Sita Mzanzibar ni Yule aliyezaliwa Zanzibar na kuishi zanzibar
Screenshot_20240501_170629_Adobe Acrobat.jpg

Nakuongezea kasome sheria ya uzanzibari..
Utajua Mzanzibari wa kuzaliwa anakuaje na mzanzibar wengine wanakuaje
Screenshot_20240501_173439_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20240501_173507_Adobe Acrobat.jpg
 
Nchi mbili zliungana, yaani Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo, Tanganyika iko wapi?
 
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.

Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan

View attachment 2977513View attachment 2977516

Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano anapotokea Tanganyika(Tanzania Bara), Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais) ni lazima awe Raia wa Zanzibar, Kwahiyo kumbe Wazanzibar wapo na ni lazima wawe Wazanzibar ili kugombea Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO

Pia soma
Inasikitisha sana, yani wachumia matumbo wanajitoa ufahamu kutetea vitu ambavyo vipo wazi kabisa. Hawa wazanzibar wametake advantage ya ujinga wa watanganyika. Ha ha wazanzibar kuanzia wilayani mpaka ikulu what a nonsense.
 
Ndo unatakiwa Ujiulize Kwanini Tuite bara wakati Ukerewe Na mafia Sio Bara ni Visiwani??

Mkuu Uko Familiar na Katiba ya Zanzibar?
Na sheria inaitwa zanzibari Acts (Sheria no 5 ya mwaka 1985) ?

Kwa mujibu wa Katiba ya SMZ (Serkali ya Mapinduzi ya Zanzibar) Ibara ya Sita Mzanzibar ni Yule aliyezaliwa Zanzibar na kuishi zanzibarView attachment 2978328

Nakuongezea kasome sheria ya uzanzibari..
Utajua Mzanzibari wa kuzaliwa anakuaje na mzanzibar wengine wanakuaje View attachment 2978364
View attachment 2978367
Sijaona mahali inataja sifa na vigezo vya kuitwa Mkazi wa Zanzibar/Mzanibari na uhusiano wa Hati ya Mkazi wa Zanzibar.

Kuitwa "Mtanzania Bara" au "Mbara" lengo ni kuwatenganisha Wazawa wa Tanganyika na Wazanzibari na Wapemba katika Muungano. Mafia na Ukerewe vipo Tanganyika. Wakazi wa huko wote ni Wabara hata kama wanaishi visiwani. Muhimu hapo ni territorial boundaries kati ya Tanzania Bara na Zanzibar.
 
Sijaona mahali inataja sifa na vigezo vya kuitwa Mzanzibari
Ooh Unataka Sifa za Kuitwa Mzanzibari?
Hizo sifa zipo kwa mujibu wa Sheria ya Uzanzibari ya mwaka 1985 (Sheria namba 5 ya mwaka 1985) "Zanzibari Act"

Kwa mujibu wa sheria Hiyo Mzanzibari ni
  • Raia wa Tanzania (Tanganyika +zanzibar) ambaye Kabla ya Muungano/Muungano Umemkuta akiishi Zanzibar "Kabla ya 1964 alikuwa akiishi Zanzibar"
  • Aliyezaliwa zanzibar Baada ya 1964 bila kujali Sehemu ya Muungano alikotokea..
  • Aliyeishi zanzibar Kwa Miaka isiyopungua 15 akiwa na nia na Tabia njema
ZIngine soma hapa chini Kifungu cha 3 mpaka cha sita cha sheria hiyo..
Utajua Jinsi ya kupata Uzanzibar na jinsi ya kuupoteza Uzanzibari
Screenshot_20240501_185240_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20240501_185307_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20240501_185404_Adobe Acrobat.jpg

Sheria hiyo Pia makamu Wa Rais wa Zanzibar ameifafanua kidogo hapa
 
Tumeshuhudia watu wenye dhamana kubwa katika utawala wa nchi hii wakijinasibu kwa “ushindi wa bao la mkono” na wengine wakimfananisha Rais na Mungu. Iko mifano mingi ya aina hii kwenye siasa za Tanzania ya watu kutumia kauli za ovyo kutetea mambo ya ovyo.

Kwa kiingereza mawazo ya aina hiyo tunayaita “insane viewpoints” au “insanity”. Kiswahili chake kinaweza kisipendeze lakini ni “wehu” tu. Hata mapenzi yakikolea kupita kiasi hupelekea mtu kuwa mwehu.

Btw, mwehu sio kichaa. Ni mtu mzima anayejitoa fahamu katika mazingira fulani kufanikisha malengo yasiyo ya kistaarabu. Hivyo sijui ni “lugha nzuri” ipi hiyo inaweza kuelezea insanity.
Asante. Umefafanua kiungwana sana na nimekuelewa.
 
Nadhani tuko pamoja, Mamluki njooni mupinge na hili
 
Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano anapotokea Tanganyika(Tanzania Bara), Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais) ni lazima awe Raia wa Zanzibar, Kwahiyo kumbe Wazanzibar wapo na ni lazima wawe Wazanzibar ili kugombea Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katiba irekebishwe, linapotokea lolote kwa rais wasiwe marais wa Tanganyika
 
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.

Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan

View attachment 2977513View attachment 2977516

Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano anapotokea Tanganyika(Tanzania Bara), Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais) ni lazima awe Raia wa Zanzibar, Kwahiyo kumbe Wazanzibar wapo na ni lazima wawe Wazanzibar ili kugombea Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO

Pia soma
kwahiyo ana kitambulisho cha utanzania, uzanzibar wakati anaowaongoza wana utanganyika peke yake.
 
.....hapo labda tutajadiliana tena 2028 2029 nitakapokua nakaribia kurudi kwangu Kizimkazi.....

Baada ya kauli hii nikasikia kuna wadau wamenyakwa huko nyanda za juu kusini
 
CHADEMA mnafeli sana, daima mnatafuta kura kwa migawanyo, mara mkae kidini, mara kikanda mara kama hivi kizanzibar na Bara, yan mnatapa tapa kwa kila mbinu kuhakikisha mnafika ikulu, ila kibaya mnajiharibia, kwa style hii ya ubaguzi watu wa mipakani wanawaogopa tayari, zenji hawatakaa wawakubali,
Ubaguzi unao wewe Bara ni nchi gani? Anza na hilo ili ujielewe.
 
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.

Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan

View attachment 2977513View attachment 2977516

Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano anapotokea Tanganyika(Tanzania Bara), Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais) ni lazima awe Raia wa Zanzibar, Kwahiyo kumbe Wazanzibar wapo na ni lazima wawe Wazanzibar ili kugombea Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO

Pia soma
Zanzibar ina watu milioni moja sisi huku bara tupo milioni 64.

Hatujielewi na huu umaskini unatupiga na kutuacha tumechanganyikiwa vichwani mwetu.
 
Nadhani nafasi ya urais ingebakia kwa mtanganyika tu.

Kisha kuuenzi muungano moja kati ya PM ama makamu wa urais hasa PM ningependa awe ni mzanzibar hasa aliyebobea kujua mazingira ya bara na siasa zake.

Hawa walau kwa uadilifu wao wangemsaidia Mtanganyika lakn pia kwa vile hawana nafasi ya kuwa Rais wa bara hivyo kuwa na siasa za kusaka madaraka hawatakuwa nazo.

Dah wazee mumejisahau sana, Wazanzibar wanakuwa sahihi wanapolalamikia huu muungano. Kwa hiyo wao wawe hawaruhusiki kuwa Maraisi?
 
Back
Top Bottom