Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

ili pepo la talaka inabidi tulikemee

au ndio wadada wa cc hawajui mahabati? kama ndivyo tutafute kungwi kabla ya ndoa waende unyagoni

Hoja yako imeungwa mkono mheshimiwa Kapalampya.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Mie najua kuoleea sijui kuachwa Arushaone.... labda mie nikuache.
 
Last edited by a moderator:
Movie limefika patamu sasa .....mh..! ........... Mamndenyi anaweka pingamizi kali kanisani Lady doctor ahamaki eti HA !!! Anakunja ndita kwa hasira kubwa huku akimfuata mamndenyi.itaendelea......Watch out part 2

Unataka kuona eeeh nenda jukwaa la chini ukaangalie mkeo na Baba v wanachofanya ukimaliza uje uone part 2.
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuona eeeh nenda jukwaa la chini ukaangalie mkeo na Baba v wanachofanya ukimaliza uje uone part 2.

mi namshangaaga Slave anavyojitapa anamke.......
Ataishia kutupigia kelele hapa huku wenzie wakimsosomola mkewe kiulaiiini......!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mi namshangaaga Slave anavyojitapa anamke.......
Ataishia kutupigia kelele hapa huku wenzie wakimsosomola mkewe kiulaiiini......!!!!!

Nakupa siri ukisema mi simo. Hivi unajua mumeo huyu wa ndoa tata anaandaa talaka hata kabla ya harusi. Shost nimekuuma tu sikio.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…