Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Unataka kuona eeeh nenda jukwaa la chini ukaangalie mkeo na Baba v wanachofanya ukimaliza uje uone part 2.
wew bibi harusi unatafuta nini huku nje ? rudi ndani
Nakupa siri ukisema mi simo. Hivi unajua mumeo huyu wa ndoa tata anaandaa talaka hata kabla ya harusi. Shost nimekuuma tu sikio.
nikikaa ndani sana mume wangu mtarajiwa Arushaone atanisahau buree siku ya harusi maana nimeiva mpaka basi.
Btw, mpe hi Evelyn Salt mwambie nimemmiso
Evelyn Salt nampendaje?
subiri amalize eda
Pole sana Mamdenyi.
Hizo ni changamoto za maisha.
"Si kwamba hakuna maisha bila ya Arusha one, ila hakuna maisha bila pumzi".
Futa machozi.
wew bibi harusi unatafuta nini huku nje ? rudi ndani
haaa unanitamanisha.
Hoja yako imeungwa mkono mheshimiwa Kapalampya.
Ujue keshakuandikia talaka hata kabla ya ndoa. utakuja hapa kusema.