Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Mamndenyi, usijali mkono wa sweta ulishakatwa na Mwita Maranya ngariba atumiae msumeno butu chini ya usimamizi mkali wa polisi jamii mwaJ na mwanawe Zion Daughter. Bujibuji niko mwaaaaa kama kipara cha babu, njoo tule raha bara mpaka pwani. Achana na Arushaone anayeteswa na hangover za penzi la Madame B
chunga tamaa mbaya!! Tuliza moyo wakoo...
Achana nao hao, njoo tulale sie..
Hata usithubutu @ mamndenyi.Huyu ni pastor feki.Ila mie nakushauri uombewe spiritual husband anakusumbua
Mamndenyi, usijali mkono wa sweta ulishakatwa na Mwita Maranya ngariba atumiae msumeno butu chini ya usimamizi mkali wa polisi jamii mwaJ na mwanawe Zion Daughter. Bujibuji niko mwaaaaa kama kipara cha babu, njoo tule raha bara mpaka pwani. Achana na Arushaone anayeteswa na hangover za penzi la Madame B
Lady doctor Lazima niwahi ikiwa ya moto.
Ha ha ha haaaaaaaaaa, hujambo rafiki?Mamndenyi, usijali mkono wa sweta ulishakatwa na Mwita Maranya ngariba atumiae msumeno butu chini ya usimamizi mkali wa polisi jamii mwaJ na mwanawe Zion Daughter. Bujibuji niko mwaaaaa kama kipara cha babu, njoo tule raha bara mpaka pwani. Achana na Arushaone anayeteswa na hangover za penzi la Madame B
Request granted! Hivi unaweza kunikumbusha kama kuna mke mwingine kwenye himaya yangu napaswa kumpa talaka? Nikumbushe please.
Ha ha haa sina kipoozeo mie. nenda mwenyewe. niko poa.
Pole sana Mamdenyi.
Hizo ni changamoto za maisha.
"Si kwamba hakuna maisha bila ya Arusha one, ila hakuna maisha bila pumzi".
Futa machozi.
Hata usithubutu @ mamndenyi.Huyu ni pastor feki.Ila mie nakushauri uombewe spiritual husband anakusumbua