Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

Arushaone natamani nikupe za usoni
sijui watanifungia
ngoja niangalie huku na huku
nikushukie kama mvua za masika.

 
Last edited by a moderator:
Asprin ataniua nakwambia, anaisimamia utasema yupo kitonga, kisa mi mkewe!! Khaaaaa, nipo mamito, unyumba tu na raha zake ndio unanificha kama hivi.

Nimekumiss....!!
 
Last edited by a moderator:
Hii si talaka kabisa, haina sahihi hata moja
 
Arushaone natamani nikupe za usoni
sijui watanifungia
ngoja niangalie huku na huku
nikushukie kama mvua za masika.
@mamndenyi hii si talaka ni barua ya kwenda kwa mwenyekiti wa kijiji. haina vigezo vya kuwa talaka.
alaf talaka inatolewa kwa mtu ambaye yuko kwenye uhusiano, hivi ni lini uli rudiana na Arusha one mpaka akupe hiyo anayo ita talaka? labda hii ni barua ya utambulisho wa talaka na wala si talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…