Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Umemaliza vizuri mkuu
 
Una moyo mbaya sana
 
Sijawahi kula mbususu za jeiefu[emoji2956] nafeli wapi mzee ebu nipe mbinu
Kaa vizuri na pm yako ila vitoto vya chuo ndovingi ila nawe hujataka tu au upo unatuchora hapa,shobo zote hizo unazopataga
 
Ogopa sana teknolojia.

Inaonekana ni wewe upo njia panda.

Fanya hivi,
1. Jikaze kikike uongee na mchumba wako

2. Makavu live kuhusu hiyo ID yake

3. Mpe orodha yq madem aliowapitia JF

4. Jadilini future yenu kama ndoa au doa

5. Jipe muda kabla ya kukubali ama kukataa.

6. Akiwa mbishi, karibu sana tukupunguzie machungu
 
Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijui
Kilichokaa hovyo ni umbo au naniliu?

Acha ubaguzi sheikh. Wapelekee moto hata kama ni michellin
 
Kwani ukisema ni wewe kuna ubaya gani?

Weka wazi ili baraza la wazee wa jf tukae kikao cha dharura kumuweka sawa huyo jamaa yetu.

Jf ni reputable platform anatakikana aendane nayo, kama mmekutana humu jf msituangushe bwana.

View attachment 1998461
Hahaha hahahahaa nyoko kweli hahhahhhahah muogope Mungu na technology dah. Kumbe mleta mada ndio muathirika??
 
Nawapenda sana wadada wa JF, ni wa kweli na wawazi mno hasa kwa Wapenzi wao wa JF. Akipewa mimba anasema, anakuja hapa anatutangazia, tunashangilia na kufurahi

Akipata mchumba wa JF tunafurahi. Tunawatakia kila la heri kwenye penzi lla mtandaoni.

Wakimwagana wanakuja kusema, tunafurahi na kuendeleea kuwaombea ili bibie asijejinyonga maana huwa wanamwaga povu balaa.

Hadi sasa kuna Reported Case mbili za JF Males kuwapatia UKIMWI dada zetu, hizi ni reported case huenda kuna nyingine, wadada wa humu ni wa kweli na wawazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…