Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe ili kuboresha uelewa wa wanafunzi

Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe ili kuboresha uelewa wa wanafunzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea lugha ya wananchi,

Hii ni sauti ya wasiokuwa na sauti.

Ni kheri mngeyachukua na kuyatia haraka kwenye Ilani za vyama vyenu mtanishukuru baadae.
 
Serikali kukaa na watoto wetu shule za kata zaidi ya masaa nane na wasipate hata kikombe Cha uji huu ni udhalilishaji na kukiuka HAKI za binadamu.
 
Back
Top Bottom