USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Suala la kiiman kidgo tu mlikosesha rafiki yangu wa karibu mke kisa tu baba wa Binti, yaani muoaji na muolewaji walikuwa Wana ile true love, kitu tulifanya yule mzee hatakaa asahau, ila mpaka Leo jamaa yangu Yuko na huyo Binti kama mke halali na Sasa ivi wamepata mtoto fully aman na maisha yanaendelea kwa furaha baina yao
 
💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…