USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Pole sana...jipe muda usiingie kwenye mahusiano na yeyote kwa sasa, mpaka utakapo kuwa sawa...

inaonekana kuna vitu bado haujavisahau.
Ni muda mrefu mwenyew niliona nitakuwa sawa kukaa bila uhusiano nayo ni changamoto sababu nami binadamu ujue
 
Bora mliachana tena shukur sana Mungu wako,hakuna ndoa yenye amani Wala kudumu ya watu wa iman mbili tofauti..hakuna!!

Tafuta wa iman Yako muoane,uyo ata kama msingeachana hapo awali,,ndoani mngeachana tu..coz miungu miwili haiwezi hata siku Moja kuish pamoja lazima Kila mmoja atataka mwenzake amfate yy.😂😂😂
 
You have a Trauma, heal your self. A Trauma is some kind of a trigger. Just Google how to heal a Trauma. It is a priritual problem.
 
Aaliyyah

Mental healthcare is all you need for now🧕

Sorry for your Parents disapproval..Jiweke sawa mentally uweze kumpa room Mwanaume mwingine..Inauma sana lakin Jitahidi kumsahau na Samehe Wazazi wako 🧕🤝

I know it sucks..but this is the truth..It wouldn't be valid as per religion..Usiolewe na asiekua wa Imani yako..What religion will you raise your children in ?

You sound like a good daughter who genuinely cares for your family..they're lucky to have you.. Your intentions seem quite noble..but take a breath utampata alie sahihi na bora kwako🤗


Being in love is one thing.. but staying in love is a whole other.. Before anyone even thinks about marriage.. there are few things that they should always discuss with their intended partner:-

1 - Make sure that you are fully and willingly committed to one another

2 - When/how many kids you and your partner want.. Is adoption an option? Is either one of you infertile?

3 - Levels of religiosity..Dini/Imani kipengele kikubwa cha kuzingatia

4 - Anger management issues/Psycho /Bipolar (Do one or both of you struggle)?

Are you in therapy for it or do you lash out at others? Ili ata ukiolewa na Mheshimiwa design Mh@litutumbwe unajua how to managed him 🤣🤣🤣👋

5 - Energy..Does it match? You have to gauge this..Follow your gut instinct 🧕

IMPORTANTLY..LOVE is not what keeps a relationship going..An active commitment to love..despite the downfalls and hardships is what keeps it going..You need to look past the king-queen-happily-ever-after dynamic to know if you're going to make it

NOTE: The pain of marrying the wrong person is worse than your present fear 😧 😧 😧

Wish you luck Sisy🙏🍀 🍀 🍀
 
😍😍😍
 
Dada pole kwa yaliyokukuta! Huwezi jua Umeepushwa na nini

Binafsi mda wa kuoa ukifika ntaangalia makubaliano ya Mimi na mchumba wangu, kama yy yupo tayar bas mi naoa masuala ya ndugu kuniwekea kikwazo sitayapa nafasi hata kidogo maana mwisho wa siku ntaishi nae Mimi sio wao
 
💯
 
Una ugonjwa wa afya ya akili jitahidi utibu hilo kwanza.. hujakubali kuliachia hilo jambo la kwanza ndio maana linakutesa
 
Mtafute wa mwanzo mwambie muhame mji mkaanze kwingine maisha!!

Msomi unapangiwa mwenzi awe wa dini gani!!?

Ulisoma kozi gani!!? psychology inasema dhahiri kua kukomaa ni KUONA jambo katika nyuso tatu tofauti!!

Mtafute mpenzi wako mwambie mwende mkazae huko na kuishi mkijitegemea pekee yenu!

Chukua sheria mkononi acha uoga maisha ni YAKO sio ya baba wala Mama!!wala NDUGU!!

Umenisikia!!!?!!??

Ndoa zipo HADI za serikali kama Dini ni tofauti!!!

Mimi ni me!!fuata nilichokuambia kabla jamaa hajaoa
 
Usiolewe na asiekua wa Imani yako..What religion will you raise your children in ?

hii kitu hii sijui lakini🤔....au basi tu.
 
Unapofanya uamuzi kuhusu maisha yako, usitarajie sana maoni ya watu wengine kuhusu hilo jambo lako, maana mwishowe watakudisapoint tu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mi Sijaelewa vizuri hapo..kwahio shida ulonayo saivi ni ipi hasa
Ni hasiraaa , ni bado mnawasiliana nahuyo bwana au ni Kwamba ukiingia katika mahusiano mapya bado unajiona ni mchumba wa huyo alokataliwa au ninini hasa??

Nahizo hasira zinaingiaje hapo??
 
😀Nafikiri ingekuwa kipengele kizito mno lakini nilikuwa sikuwahi kuwaza nje ya box Yani nilikuwa naona mapenz tu alinipenda mno kiukweli
 
😀Nafikiri ingekuwa kipengele kizito mno lakini nilikuwa sikuwahi kuwaza nje ya box Yani nilikuwa naona mapenz tu alinipenda mno kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…